Nikiwa Rais wafuatao wakimbie nchi siku hiyo hiyo

Tigga Mumba

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
746
473
Rostam, JK, Manji, EL, Riziwan, Makinda, vijisenti, na kuna vijamaa vingine majina yananitoka maana povu la hasira linanitoka
 
Huyu Riz1 wakati anasoma kule kusin A level usingeamini kama angeingia kwenye list ya mafisadi yaani alikuwa mpole mshamba na "mwema" baada ya hapo ni balaa!
 
Tumuombee pepo mbaya amemkumba ili arudi mstarini, kwani inasemekana yeye ndiye aliyemfuata mmiliki kinyago wa dowans.
 
Rostam, JK, Manji, EL, Riziwan, Makinda, vijisenti, na kuna vijamaa vingine majina yananitoka maana povu la hasira linanitoka

IF WISHES WERE HORSES THEN BEGGARS WOULD RIDE.

Ila mkuu thread yako imekosa mashiko ya ki great thinkers, maana hii unataka wewe ni retarliation ambayo kwa mtazamo wangu ndiyo inafanya viongozi kuwa wang'ang'anizi kwa kuogopa kulipiziwa kisasi. Nafikiri cha muhimu ni kuthibitisha tuhuma dhidi yao then unawashitaki na kuwafilisi kwa mujibu wa sheria, then unazuia uporaji usifanyike tena.
 
watu wanaotokwa na mapovu kwa hasira ni failures,hufai kuwa rais,unapaswa kuumia na kupanga mkakati si kutoa mapovu ya hasira,hayakupi urais hayo!
 
Je, husipokua rais utawafanyaje hao wanyonyaji?

Naona kiswahili kinaendelea kuharibiwa siku hadi siku. Ndugu yangu hakuna kitu kinachoitwa 'husipokua' bali ni 'usipokuwa'. Inawezekana wewe ni 'nshomile' sikulaumu sana.

Back to the point: wengine ni salma kikwete, peter selukamba, januari makamba, kalamagi, dr. msabaha, wiliam ngereja. Orodha ni ndefu sana. Nitaendelea baadaye.
 
sio ngereja, ni Ngeleja...na sio
kalamagi, ni karamagi... Mbona mwenyewe kwenye ERO unaeka ARA na kwenye ARA unaeka ERO? ....ukiishi kwny nyumba a kioo..?

Back 2the point: thats just a wishfu thinkin. Na kurejesha utawala wa sheria, uwajibikaji na uzalendo haimaanishi kusagana meno-jino kwa jino. Kumbuka, anaeuwa kwa upanga....
 
IF WISHES WERE HORSES THEN BEGGARS WOULD RIDE.

Ila mkuu thread yako imekosa mashiko ya ki great thinkers, maana hii unataka wewe ni retarliation ambayo kwa mtazamo wangu ndiyo inafanya viongozi kuwa wang'ang'anizi kwa kuogopa kulipiziwa kisasi. Nafikiri cha muhimu ni kuthibitisha tuhuma dhidi yao then unawashitaki na kuwafilisi kwa mujibu wa sheria, then unazuia uporaji usifanyike tena.

Hayo mashiko iliyokosa ni yepi? Alicho kizungumza ni chamsingi sana,Kwani hao alio wataja kiukweli wanatutesa sana.Na hawamwonei huruma mtu.Kilichobaki ni mtu mwenye haki akichukua nchi ni kutoa adhabu kali kwa hao na wengine wengi ili kuleta heshima ya kweli kwenye mali za umma.
 
Back
Top Bottom