Tigga Mumba
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 746
- 473
Kweli bongo bado tuko nyuma kwenye customer care and follow up. Hili li modem la KIHINDI LA AIRTEL toka jana usiku ukiconnect ukafungua page tu linajidisconnect. MODEM yenyewe nilinunua airport jumapili na haikufanya kazi eti mpaka niende kituo cha kuhudumia wateja. AIRPORT mmeziweka za nini? Yani CCM itusumbue nanyi mambwiga pia mtusumbue? Nimelipia 60t sasa narudi tena kwenye kituo chenu ila ushauri, wekeni askari wa kutosha maana ntazaba watu vibao PUMBAFU. HESHIMUNI WATEJA