Nissan Patrol ikivuta Kijiko cha mchanga(Bulldozer)

Tigga Mumba

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
746
473
Nimekutana nayo leo asubuhi msasani Tanesco,,,,
IMG-20121005-00800.jpg IMG-20121005-00801.jpg
IMG-20121005-00802.jpg
 
my dream car iyo gari ya kiume usipime kuna moja naivizia jamaa wakimaliza kujenga barabara tuu nayoka nayo.
Traffic walikuwa likizo maana katumia mnyororo badala ya chuma kuvuta gari
Usalama sifuri apo
 
kumbe hii mashine ni nomaa.. nlikuwa naichukulia poa poa tu. kwani ina CC ngapi hiyo?
 
Mi nilijua la minyororo kumbe la matairi, hakuna cha ajabu hapo.
 
Kweli kabisa!!Excavator ni kijiko na Bulldozer ni tinga tinga na glader ni nini??au Catapillar?
 
Ndivyo tunavyohishi Bongo....huwa hatujui hatari wakati wa shida.....mwenye nissan haju kwamba gari lake laweza kukwanyuka
 
Kweli kabisa!!Excavator ni kijiko na Bulldozer ni tinga tinga na glader ni nini??au Catapillar?

Catapillar ni make kama vile , Nissan ,toyota, fiat, ford Benz ,Scania n.k, Hivyo basi kuna Excavater, Bulldozer na Grader za aina(make) tofauti kama ifuatavyo ; Catapiller, Komatsu;Fiat, Liebher(speling inanichanganya kidogo),Hitachi.
Na Grader ule mtambo wenye Jembe katikati mara nyingi unatumika kukwangulia barabara.

Hata hivyo Wataalamu zaidi watakuja kutufahamisha zaidi.
 
Hio Hitachi hata mie ninayo, ina bendi sita,ina shika RTD na KBC,ina muziki mzuri afu ni double speaker!
 
Back
Top Bottom