Zain call centre

Tigga Mumba

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
746
470
Nimenunua modem ya zain airport leo hii na kuambiwa kuwa nimepewa 8GB kwa mwezi mzima. Mpaka sasa inakataa, inaleta error code wakati wa kudial. Nimepiga zain call centre toka saa kumi na nusu hawapokei. ZAIN SUCKS
 

CalvinPower

JF-Expert Member
Nov 25, 2008
1,550
838
ukipata tatizo mfano vodacom watapokea halafu watakuambia ok tunapeleka kwenye idara inayohusika utapigiwa sim baada ya siku tatu na huyo mwenye hiyo idara inayohusika halafu atasikiliza problem yako na atakuambia oooh ok hi sio idara yangu ngoja nitaipeleka idara inayohusika then after siku tatu tena unapigiwa sim na hao voda na kitu ni hichi hicho fool kabisa. imagine umetuma hela kutumia western union halfu unarudi home ili utume mtcn number kupitia internet yako ya voda halafu ndo unakutana na ujinga huu eti siku tatu ndo uwe na internet na hata baada ya hiyo siku tatu utaambiwa oooh subiri tupeleke idara inayohusika. sasa hiyo mtcn number yako inaumuhimu gani? pumbavusana hawa jamaa
 

Tigga Mumba

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
746
470
Kuna siku ntawazaba vibao na magari yao. Wanajidai wakati tunawaweka mjini. Sasa hii modem isipofanya kazi watanielewa vyema
 

Cassava

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
282
36
Kuna siku ntawazaba vibao na magari yao. Wanajidai wakati tunawaweka mjini. Sasa hii modem isipofanya kazi watanielewa vyema

Kumbe! mimi niitaka kununua Modem ya zain basi sinunui tena, wanazingua ki hivyo ee! Je, gharama zao zikoje? Zipo nafuu kuliko VODA? manake voda wana 30,000/ kwa mwezi, 10,000/= kwa wiki na 500/= kwa siku,ila kuna siku inakuwa na kwikwi balaa, hata haifungui kitu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom