Search results

  1. Alnadaby

    Minibus inauzwa pamoja na mkataba wake wa kazi

    Wandugu. Nauza hiace minibus ya abiria 16 ambayo ina mkataba na kampuni maarufu kwa malipo ya Shs.1.8 million kwa mwezi. Bei ni maelewano.Nipigie simu 0784829633 au tuma email: sleyim@gmail.com.
  2. Alnadaby

    Polisi wavamia gari la kampuni ya Mafuta Tanga

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida RTO 9 Kamanda wa Usalama wa barabarani mkoani Tanga akifuatana na askari wake wanne walimvamia Meneja wa kampuni ya mafuta ya GBP wakampiga hadi akazimia. Meneja huyo kwa jina la Amour aliyekuwa akitoka kituo cha mafuta cha Airport eneo la Kange alisimishwa...
  3. Alnadaby

    Rashid Mfaume Kawawa kama Mhogo Mchungu

    Kuna movie fulani ambayo Rashid Kawawa ali act kama Mhogo Mchungu enzi hizo.Ningependa sana kumuona akiwa katika action wakati huo.Nasikia alikuwa hodari sana na alifurahisha watu wengi. Katika kumbukumbu ya watu mashuhuri kwenye movie industry,Kawawa ni mmojawapo na naomba wenye mkanda huo...
  4. Alnadaby

    Kitu gani kinamfikisha mtu kwenye ufanisi katika maisha

    Nimeshakutana na wasomi kila aina,lakini majority yao ni watu wasiokuwa na uwezo hata wa kuendesha maisha yao.Na nimeshakutana na watu wasiokuwa na elimu ya maana...lakini ni watu makini,wana uwezo wa kifedha,wanajiamini na wanaendesha shughuli zao vizuri. Sasa labda hapa ni kutafuta sababu za...
  5. Alnadaby

    Imezidi haijazidi biashara mtindo mmoja

    Mizani zetu zinazopima uzito ma magari ni mradi bora zaidi kwa wenye kutamani utajiri wa haraka haraka.Mafisadi vidagaa watarajiwa jiungeni katika wizara husika ili mkusanye hela ya bure. Jana tanki la mafuta lenye uwezo wa kubeba lita 10,000 lilikuwa likisafirisha mafuta na lilipofika...
  6. Alnadaby

    Musharaf aachia ngazi

    Rais Pervez Musharaf amejiuzulu.Check Aljazeera live.
  7. Alnadaby

    Nifanyeje ili nipate mkopo wa kuanzisha biashara

    Wakulu, Kutoka katika ajira ya kuajiriwa na kuingia katika ajira ya binafsi ni kazi kubwa.Mimi niko njia panda nataka kupata mkopo wa kununua truck ili hata nikiacha kazi yangu ya kuajiriwa niendelee na uzoefu nilionao kwa kuwa transporter. Nina kiasi cha 20% cha mtaji ninaotaka.Nataka benki...
  8. Alnadaby

    Nawezaje kusonga mbele

    Napenda kujiendeleza kielimu,ingawa ni mtu mzima wa zaidi ya miaka 50( Elimu haina mwisho) My intention is to pursue a bachelor's degree in Commerce.I am a working man and for the last 20 years have been holding managerial posts in two successiful private companies.In other ways i know how to...
  9. Alnadaby

    Tangazo La Kifo

    Leo ndugu wananchi kuna kikao huko ahera kinachohudhuriwa na Mchonga,Kenyatta na Obote.Pia wapo Amin Dadah,Sheikh Karume na wana Afrika Mashariki mashuhuri wakisubiri habari za mgeni ambaye kwa bahati mbaya bado ni mimba lakini ameshakufa.Nyimbo za kumpokea zinasikika kila mahali. "Karibu...
  10. Alnadaby

    Diallo TV na Ulokole kwenye sherehe ya mwaka mpya

    Mheshimiwa waziri na rafiki yangu Diallo.Najua fika kuwa wewe ni mwanasiasa mwenye juhudi kubwa katika masuala ya haki na maendeleo kitaifa.Tv yako ya Star una kila aina ya power of influence kwa wafanyakazi wako kutangaza kile unachodhani kuwa ni sahihi na kina manufaa kwa nchi na raia...
Back
Top Bottom