Minibus inauzwa pamoja na mkataba wake wa kazi

Alnadaby

JF-Expert Member
Sep 28, 2006
505
41
Wandugu.

Nauza hiace minibus ya abiria 16 ambayo ina mkataba na kampuni maarufu kwa malipo ya Shs.1.8 million kwa mwezi.

Bei ni maelewano.Nipigie simu 0784829633 au tuma email: sleyim@gmail.com.
 
Hii ni biashara inayoendelea.Ukinunua hii gari unaendelea na kazi ya matangazo ya zain na kupata net kila mwezi 1.8 mil.Mafuta na service juu yao.Mimi naiuza kwa sababu nataka niongezee kwa ajili ya mradi mwingine.
 
Weka bei basi
 
Bei ni maelewano.Gari lipo kazini kwa sasa Musoma baada ya kutoka Mwanza na Shinyanga.Nipigie simu 0784829633.

Ni kazi nzuri ambayo haiwezi kufananishwa na daladala cause hawa wanayoitumia hawasafiri kila siku,kwa hiyo inapata fursa ya kupumzika na kutembezwa kilomita chache.
 
Hii ni biashara inayoendelea.Ukinunua hii gari unaendelea na kazi ya matangazo ya zain na kupata net kila mwezi 1.8 mil.Mafuta na service juu yao.Mimi naiuza kwa sababu nataka niongezee kwa ajili ya mradi mwingine.

Dah mkuu upo serious kweli???
 
Niko serious Mkuu na mkataba uko wazi.Ukishalipa tu unaendelea na kazi.Ukitaka na dereva mzoefu endelea naye kwa maelewano yenu..Mimi nataka kufanya biashara nyingine.
 
Back
Top Bottom