Alnadaby
JF-Expert Member
- Sep 28, 2006
- 505
- 41
Mheshimiwa waziri na rafiki yangu Diallo.Najua fika kuwa wewe ni mwanasiasa mwenye juhudi kubwa katika masuala ya haki na maendeleo kitaifa.Tv yako ya Star una kila aina ya power of influence kwa wafanyakazi wako kutangaza kile unachodhani kuwa ni sahihi na kina manufaa kwa nchi na raia.
Nataka nikushauri kuwa kama unataka injili ihubiriwe vema basi tumia hiyo Tv yako kama chombo kila siku ya mwaka 2008 na ubadlilishe jina kutoka STAR kuwa kitu kama CROSS TV ili utangaze neno la bwana kwa wale ambao una wa target.
Kama unataka kuwa kama ITV,BBC,TVT au CNN basi nakushauri usichague dhehebu moja likaiteka Tv na kuharibu kabisa maana ya sherehe ya mwaka mpya.Star Tv haikutakiwa kuchanganya mambo siku ya mwaka mpya na kuwa kama kitengo cha dhehebu la dini.Mheshimiwa TV yako inawafikia Watanzania wote wote si walokole tu na haifurahishi hata kidogo inapokuwwa ni chombo cha uenezaji injili badala ya chombo cha upashaji habari na kutoa burudani kwa wote.