Search results

  1. TEK

    Kilimo cha bustani njia rahisi ya kutatua ukata wa fedha katika familia

    Habari zenu ndugu zangu, katika kutafakari nini cha kufanya nimejikuta napata wazo hili ambalo kimsingi kwa mtu ambaye atazingatia itamsaidia. Hii ninazungumza kutokana na uzoefu nilionao katika maisha yangu. Mwaka 2016 ni mwaka ambao kwangu ulikuwa ni mgumu sana lakini kutokana na kilimo cha...
  2. TEK

    Tusipotoka katika maigizo ya siasa hatutafika tunakokwenda

    Habari ndigu zangu! Mimi kila siku natamani sana kuona nchi yangu ikipiga hatua na kufika sehemu ambayo itakuwa ni suluhusho la maisha magumu tuliyonayo kisiasa, kihistoria na kiuchumi. Nchi hii inapitia vipindi vigumu sana hasa katika nyanja za siasa. Siasa za nchi hii zinapitia maigizo mengi...
  3. TEK

    Naomba yeyote anayejua kuhusu Maboga lishe

    Naomba yeyote anayejua kuhusu Maboga lishe, kuhusu bei ya mbegu, mahali zinapatikana hizi mbegu na masoko anijuze tafadhali. Nipo Mbeya
  4. TEK

    MADAI H/WILAYA YA MBARALI

    Naamini hapa ndo tunaweza kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa watu tulio wakusudia. Kunakitu nakihisi kama siyokweli basi naomba MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI athibitishe kwa kutulipa madai yetu. Mimi ni miongoni mwa waajiriwa wa 2013 kitengo cha ELIMU hadi keo hatujalipwa...
  5. TEK

    Nawakaribisha kwenye kampuni ya NEO Life

    Nimeona niwakaribishe kwenye hii kampuni ya aina yake inayofanya biashara ya mtandao. Mtanzania wa kawaida kabisa unakaribiahwa kwenye hii fursa. Waliowengi watakupa negatives kuhusu hii biashara lakini naamini maisha hayana njia moja ya kumtoa mtu kimaso maso. Wewe unataka kuijua hii fursa...
  6. TEK

    Bidhaa za afya na usafi

    Ninasambaza bidhaa za afya na udafi zenye sifa zifuatazo:- CARE:- Hii ni bidhaa maalum kwaajili ya mambo yafuatayo:- - Inatibu kuku magonjwa mengi hasa KIDELI - Inatibu fangasi sehemu za siri na miguuni - Hutoa gesi tumboni - Huondoa sumu mbalimbali kwenye mboga na nyama - Inatibu ng'ombe...
  7. TEK

    Mahindi ya gobo

    Jamani naomba anayeijua vizuri mbegu nzuri ya mahindi ya kuchoma yanayoweza kukomaa baada ya muda mfupi. Nitashukuru kujua hilo
  8. TEK

    Naomba mwenye uzoefu na namna ya kuomba scholarship anisaidie

    Jamani mimi ni muhitimu chuo kikuu cha kikatoli cha Ruaha katika fani ya Elimu 2012 kwa sasa ni mwalimu nimeajiriwa. Kutokana na challenge za maisha niliyoishi na ualimu kwa miaka hii minne natamani kuachana na ualimu nifanye kazi nyingine. Baada ya kufuatilia kwa kina nimegundua kuwa...
  9. TEK

    Kwa anayeijua Magadini High School

    Heshima kwendu wana JF Nina mdogo wangu amechaguliwa shule hiyo tajwa hapo juu naomba anaeifahamu anijuze hasa mambo yafuatayo Rangi ya uniform wanazovaa wanafunzi Mahali ilipo huko Hai sehemu gani Nashukuru sana
  10. TEK

    PC nzuri ina sifa zipi?

    Heshima kwenu wandugu. Kutokana na hali ilivyosasa mahitaji ya pc yamekuwa makubwa sana. Mimi ni mmoja kati ya wahitaji wakubwa wa kompyuta (PC). Kwa kuwa nina uhitaji ila siyo mtaalam wa hivi vitu naomba mnisaidie kujua uzuri wake unategemea vitu gani hasa kwenye PC hadi iwe na uwezo mkubwa...
  11. TEK

    COMPUTER MPYA

    Heshima kwenu wanajamvi! Samahani ndugu zangu, nipo kwenye mchakato wa kununua PC kwaajili ya matumizi yangu ya kimawasiliano na mengine yanayoweza kufanywa electronically lakini kabla sijaenda dukani naomba ushauri wenu katika mambo haya yanayoweza kunisaidia kutafuta bidhaa bora zaidi:- Ni...
  12. TEK

    Mkuu wa Wilaya ya Kilolo, naomba msaada wako kwani nmenyang'anywa ardhi

    Mimi ni mkazi wa Kijiji kimoja kilichopo katika wilaya yako ya Kilolo kusini mwa kata ya Ukwega. Ni uonezi kwangu kwasababu hii hapa:- Mimi nimezaliwa hapa hapa kijijini na nimeishi hapa hadi sasa ninaumri mkubwa tu lakini cha ajabu ni kwamba kunamtu ameninyang'anya ardhi yangu ya urithi hadi...
  13. TEK

    Bidhaa bora za usafi, mifugo na kilimo zinauzwa

    Zinauzwa ni bidhaa bora kwa ajili ya usafi, kilimo na mifugo. Nitafute 0763770854
  14. TEK

    Kazi ya kujiajiri mwenyewe kwa pesa kidogo tu!

    Mimi ninafanya kazi ya kuuza bidhaa zinazotumiwa majumbani kama sabuni, dawa za kusafishia vyoo na mabafu, n.k ilapia bidhaa hizi zipo na nyingine nyingi ambazo zimethibitishwa TFDA kwaajili ya afya yatanzania. Biashara hii mtaji wake ni laki 3 tu ni fursa yako uliyeiona hii post. CHUKUA HATUA...
  15. TEK

    TANESCO iweni na huruma na wakazi wa Kishapu

    Nipo katika kijiji kimoja kinaitwa Mwigumbi kipo km 52 kutoka Shinyanga mjini kando kando mwa bara bara iendayo Jijini Mwanza. ONA: Tangu jana asubuhi muda wa saa nne asubuhi hadi hivi sasa haujarejeshwa tena. Hivi TANESCO mnajua hili? Kama mnajua mpango wenu ni nini? Mimi nawaombeni sana...
  16. TEK

    Je, niendelee kuiamini tena CCM?

    Kiukweli kuendelea kuiamini CCM ni sawa na kutendwa na mpenzi kwa kukuletea mpenzi mwingine then akishamaliza mambo yake na huyo jamaake anarudi kuaema "Baby I love you." Je, ninasababu gani kurudiana nae? Tafakari tangu Richmond hadi Escrow je kubadhamira ya dhati? Fikiri sana kisha chukua...
  17. TEK

    Form Five second selection

    Jamani am sorry anayejua namna ya kupata majini ya candidates second selection advanced secondary tujuzane
  18. TEK

    Serikali fanyeni tathimini

    Leo nimebahatika kufika Musoma kwa Mara ya kwanza. Kilichoniumiza nipale nilipofika bandarini nikakuta kwqnza bandari haifanyi kazi ilasasa nilichoka nilipomuuliza muhudumu kuwa ni meli za kutoka wapi hufika katika bandari ikiwainafanya kazi? Jibu ni kuwa zinazotoka Mwanza, Bukoba na Dar es...
  19. TEK

    Musoma sekondari

    Jamani naomba kujua sare zinazovaliwa musoma tech
  20. TEK

    Hii siyo Siasa ni Kazi kwa ambao wataipenda!

    Ndugu hii ni kazi na ni biashara! Kutokana na kukosekana kwa ajira niwaombe wanajukwaa kuwa kunanafasi zinatokea tunatakiwa kushirikishana ilikila mtu ajaribu halafu yeye mwenyewe ashindwe. Kunabiashara ya mtandao NETWORKING MARKET ambayo mtu anaweza kufanya kwa mtaji wa kima cha chini laki 3...
Back
Top Bottom