Kwa anayeijua Magadini High School

TEK

Senior Member
Jul 13, 2015
184
34
Heshima kwendu wana JF

Nina mdogo wangu amechaguliwa shule hiyo tajwa hapo juu naomba anaeifahamu anijuze hasa mambo yafuatayo

Rangi ya uniform wanazovaa wanafunzi

Mahali ilipo huko Hai sehemu gani

Nashukuru sana
 
Back
Top Bottom