MADAI H/WILAYA YA MBARALI

MADAI H/WILAYA YA MBARALI

TEK

Senior Member
Joined
Jul 13, 2015
Posts
184
Reaction score
37
Naamini hapa ndo tunaweza kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa watu tulio wakusudia.

Kunakitu nakihisi kama siyokweli basi naomba MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBARALI athibitishe kwa kutulipa madai yetu.

Mimi ni miongoni mwa waajiriwa wa 2013 kitengo cha ELIMU hadi keo hatujalipwa malimbikizo ya mishahara yetu. Kinachonisikitisha ni pale ninapoona Waziri anasema amelipa madeni huku sisi tukitaabika nahaya madai.

Wadau wote wahusika wa stahiki za watumishi halmashauri mbalimbali mtusaidie.

Nawashukuru sana kwa hili maana naamini ujumbe utafika tu
 
NAONA WANALETA WALIMU WAZUNGU WAUZA SURA MJINI HII NCHI IMEPOTEA NDALICHAKO NAYE SASA HIVI MBABAISHAJI KAMA JAFFO NA KAIRUKI PLUS WENZAKE WAMEJAA MATAMKO TU
 
Back
Top Bottom