TEK
Senior Member
- Jul 13, 2015
- 184
- 34
Jamani mimi ni muhitimu chuo kikuu cha kikatoli cha Ruaha katika fani ya Elimu 2012 kwa sasa ni mwalimu nimeajiriwa.
Kutokana na challenge za maisha niliyoishi na ualimu kwa miaka hii minne natamani kuachana na ualimu nifanye kazi nyingine.
Baada ya kufuatilia kwa kina nimegundua kuwa ilinipate exposure nzuri ni kudevelop career yangu abroad.
Jamani samahani naomba mwenye uzoefu na namna ya kuomba scholarship anisaidie.
Kwa imani yangu naamini huku JF tupo watu wengi wenye knowledge tofauti tofauti so mnisaidie.
Ahsante sana