TEK Senior Member Joined Jul 13, 2015 Posts 184 Reaction score 38 Jan 31, 2021 #1 Naomba yeyote anayejua kuhusu Maboga lishe, kuhusu bei ya mbegu, mahali zinapatikana hizi mbegu na masoko anijuze tafadhali. Nipo Mbeya
Naomba yeyote anayejua kuhusu Maboga lishe, kuhusu bei ya mbegu, mahali zinapatikana hizi mbegu na masoko anijuze tafadhali. Nipo Mbeya
jogoo wa maajabu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2018 Posts 782 Reaction score 1,627 Feb 7, 2021 #2 Ukiyalima yanasoko ndugu na yapendwa sana
Mwanamena JF-Expert Member Joined Feb 4, 2020 Posts 1,106 Reaction score 1,374 Feb 9, 2021 #3 Waone seedco, au kwakuwa upo Mbeya nenda maduka ya pembejeo ya hapo Nanenane utapata mbegu
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,315 Feb 13, 2021 #4 Umemaanisha majani ya maboga kama mboga au Yale maboga yenyewe? Mi mzoefu kwenye mboga
xYz07 JF-Expert Member Joined Apr 13, 2015 Posts 4,077 Reaction score 5,922 Feb 19, 2021 #5 Nani tufanye nae hii biashara ya maboga? Maana nipo kwenye kiwanda chenyewe
Mwanamena JF-Expert Member Joined Feb 4, 2020 Posts 1,106 Reaction score 1,374 Feb 27, 2021 #6 xYz07 said: Nani tufanye nae hii biashara ya maboga? Maana nipo kwenye kiwanda chenyewe Click to expand... Unamaanisha inazalisha Maboga Lishe? Au unahitaji supply. Mimi nalima haya Maboga Lishe.
xYz07 said: Nani tufanye nae hii biashara ya maboga? Maana nipo kwenye kiwanda chenyewe Click to expand... Unamaanisha inazalisha Maboga Lishe? Au unahitaji supply. Mimi nalima haya Maboga Lishe.
Marire JF-Expert Member Joined May 1, 2012 Posts 12,333 Reaction score 5,315 Mar 1, 2021 #7 Tatizo hii mada imekaa kimtego mtego mada yake na comment zake Ila matapeli wapo