Search results

  1. RingaRinga

    Kusinyaa/Kuziba kwa mrija wa mkojo (Urethral stricture)

    Mada nzuri kama hii halafu wanaume tunajifanya hatuna habari na hii kitu wakati inatutafuna kimyakimya
  2. RingaRinga

    Si niliwaambia msioe? Hebu tujiulize haya juu ya DED Mafia na Mkewe

    Sio lazima usubiri kuwa mheshimiwa, hata kabla jiheshimu tu, maana ukiwa mheshimiwa historia itakufata, cc p diddy
  3. RingaRinga

    Changamoto katika mfumo wa ESS UTUMISHI

    Habarini viongozi, yeyote aliyefahamu namna ya kukabili changamoto hii katika kujisajili kwenye mfumo wa "ess utumishi" tusaidiane hapa
  4. RingaRinga

    Kwa wanaotafuta wachumba

    Kuwahi vibarua bhana!
  5. RingaRinga

    Naombeni ushauri kuhusu kuoa

    Oa mwanamke anayemjua Mungu, anayethamini kusali si kwa mkumbo bali kwa kutoka moyoni mwake, hakikisha na wewe ni mtu wa ibada na nyote muwe kweli na hofu ya Mungu. Kuoa ni kustaafu kujiangalia wewe, unaanza kuandaa waangalizi na warithi wako, haijalishi uliyemuoa mnaelewana au hamuelewani...
  6. RingaRinga

    Kitabu cha Afrika Magufuli and Change chaingia Tanzania

    Jaribio la kukizindua hapa tz ni uhaini, litakomeshwa!! Lakini haitasaidia, kitaenea, ni vyema kimeandikwa nje.
  7. RingaRinga

    Kitabu cha Magufuli Africa and Change chageuka gumzo Africa

    Hiki kitabu kitahujumiwa ndani na nje ya mipaka yake
  8. RingaRinga

    Dark days 17/03/20...

    DS
  9. RingaRinga

    Mshahara wa June vipi, nataka nitaka nikabe hadi penati wadeni wangu!!

    Habari wadau! Naulizia mshahara wa June 2023 umetoka au bado? Nina wajinga wawili nataka niwape experience ya kudaiwa waache juchukulia watu poa!
  10. RingaRinga

    Muuza duka wangu anatishia kunishtaki

    Nimeona nimlipe tu kadri ya ushauri wa wadau humu, so tushamalizana kwa mtendaji na amekiri kwa maandishi hana cha zaidi tena anachonidai .
  11. RingaRinga

    Muuza duka wangu anatishia kunishtaki

    Hivi hata km nabaki na 20k faida nimpe tu? Makubaliano hayana maana tena? Nimeua?
  12. RingaRinga

    Muuza duka wangu anatishia kunishtaki

    Wivu wivu tu wa watz
  13. RingaRinga

    Muuza duka wangu anatishia kunishtaki

    Naomba kama kuna mwenye mfano wa mikataba na wauza duka unaomweka salama mwenye duka atuwekee hapa wengi tufaidike
  14. RingaRinga

    Muuza duka wangu anatishia kunishtaki

    Asante kiongozi, nilishamalizana nae na sirudii makosa.
Back
Top Bottom