Salaam,
Katika kujadili masuala mbalimbali yanayohusu magari, nilipata kuweka moja ya mitandao wa uuzaji na ununuaji wa magari Uingereza.
Mtandao huu unaitwa Autotrader, ni moja mitandao maarufu na ya uhakika katika kununua na kuuza magari (mapya na yaliyotumika).
Sasa ndugu Bavaria alipata...
Salaam,
Napenda kujulishwa kama kuna garage ambayo ina fundi mwenye kujua namna ya kuweka “oil catch can” kwenye gari za diesel zenye turbocharger.
Oil catch can inasaidia kupunguza zile sludges kwenye pipes, hoses na intake manifold.
Naulizia garage na fundi kwenye mikoa ya Dar, Arusha...
Salaam,
Recently, there has been a discussion re the World Bank's new country classifications by income level.
The classification indicated that Tanzania's economy has changed from being low to lower middle income level.
The change has sparked discussions, which have largely based on crediting...
Mara kadhaa huu usemi, “Roma haikujengwa kwa siku moja” umesikika kutoka kwenye vinywa vya wanasiasa na hata wananchi. Leo katika uzi mmoja ambao naona umeshafutwa, nimekutana tena na usemi huo kama inavyoonyesha hapo juu.
Hapa naweka tafakuri yangu juu ya usemi huu.
Huu usemi wa “Roma...
Salaam,
Nina shida ya kuweka navigation system ya Tanzania kwenye gari iliyokuwa na navigation system ya Ulaya.
Kama kuna mtaalamu humu ama mtu anayemfahamu mtaalamu, anisaidie.
Wasalaam,
Salaam,
Kwa yanayoendelea nchini mwetu, nimepata fursa ya kutafakari neno la Mungu juu ya hasira na upumbavu, na jeuri na hekima.
Nawaomba viongozi wa serikali, mtafakari pia anavyosema Mhubiri katika sura 7, mistari ya 7 na 9. Kwa wale wasio na Biblia, Mhubiri anasema:
"Kweli jeuri...
Salaam,
Kama kichwa kinavyojieleza, Rais Magufuli aliingia madarakani kwa kujipembenua kwamba anapigana vuta dhidi ya ufisadi na uwizi ambao, kwa kipindi cha miaka 20 akiwa ndani ya serikali, ameweza kuuona. Na kama mnavyofahamu juu ya 'vita ya kiuchumi' ambayo ameizisha kwenye sekta ya madini...
Mbowe akielezea msimamo wa chama:
Hapa Lema na Mnyika wakiongelea kuhusu Kibiti, na kuzuiwa na Bunge:
Hapa Mwigulu akitoa onyo kwa wabunge wanaoongelea mauaji ya Kibiti Bungeni:
Bonasi: msikilize Rungwe hapa akiongelea mauaji ya Kibiti
Wapinzania wasemee wapi wakati mikutano imezuiliwa...
Salaam,
Kama kichwa kinavyojieleza. Kumekuwa na mjadala wa miaka mingi juu ya aina ya magari ambayo viongozi wetu wa kiserikali wanayatumia kwa shughuli zao za kila siku.
Binafsi, nimekuwa nikisema mara kwa mara kwamba viongozi wetu wanaishi kama mastaa wa Hollywood kupitia migongo yetu walipa...
Naomba nianze kwa kusema, haya nitakayoyaandika, hakika, ningekuwa na madaraka, ningeyafanya bila kuwaza. Kwa maana hiyo, ninatoa ushauri wa kinadharia tu.
Navipongeza vyama vya upinzani Tanzania kwa kazi kubwa sana ambayo vimelifanyia taifa hili. Toka mwaka 1992 (baada ya mfumo wa vyama vingi...
Salaam,
Tunaelewa kwamba Rais Magufuli ana PhD katika nyanja ya Kemia. Tunaelewa pia Barack Obama ana Juris Doctor!
Sasa Bwana Obama juzi ka-publish policy piece kwenye journal namba 2 kwa ubora duniani, Science. Cheki Hapa
Humu Obama anaongelea suala la namna gani sekta binafsi inavyoweza...
Salaam,
Leo kumeletwa taarifa humu zinazoonyesha kwamba serikali ya Tanzania imetiliana mkataba na serikali ya Uswisi (kupitia Ubalozi wa Uswisi Tanzania) juu ya Uswisi kuisaidia Tanzania katika kuchunguza taarifa za kibenki za watanzania 'walioficha' fedha huko.
Waziri Mahiga: Mkataba kusaka...
Katika kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu wa JMT, kuna mbunge mmoja (mwanamke) aliuliza swali juu ya mpango wa serikali kupanua matumizi ya lugha ya kiswahili duniani. Katika majibu ya WM, alielezea 'mikakati' mbalimbali iliyochukuliwa na serikali. Jambo moja lililonivutia ni WM kusema lugha ya...
The world's prosperity index has just been published. The Legatum Institute, a London-based think tank has released the 2015 prosperity index. As it has been the case for the last six years, Norway sits at the top, followed by Switzerland, Denmark, New Zealand and Sweden in the top five.
This...
Ubobezi katika sheria wa Tulia Ackson ni upi?
Chanzo: CCM Blog: DK TULIA ACKSON NDIE NAIBU SPIKA WA BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Salaam,
Jana Tanzania iliweza kupata Naibu Spika wa Bunge la 11. Ni Tulia Ackson, aliyekuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali ya JMT, mjumbe...
Kusema ukweli nimeangalia hizi videos hadi chozi likanilengalenga, haswa ile ya kwanza...na tukio la yule dogo msauzi.
Soka ni mchezo wa furaha, amani, upendo na kuheshimiana...wacheza soka wengi ni matajiri na masuperstaa haswa, lakini jinsi wanavyojishusha na kuwathamini mashabiki wao, ni...
Haya mambo yanahuzunisha sana kwa jinsi CCM ilivyoshindwa kulisongesha mbele taifa?
Ebu ona Ethiopia inavyofanya mambo...pale Addis muda si mrefu Trams zitaanza kuhudumia takribani wakaazi 15,000 kwa kila saa!!
Hivi nyiye wakubwa wa CCM shule mlienda kujifunza ujinga? (chanzo...
Salaam wana JF!
Kuna hili tatizo ambalo nimeliona katika jamii yetu (humu JF) na kwenye mitandao mingine ya kijamii. Nalo ni la kuchanganya matumizi ya maneno 'lose' na 'loose'. Haya maneno ya kiingereza yamekuwa yakitumika sivyo. Haswa kwa watu wengine kutumia neno 'loose' pale neno 'lose'...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.