Chemsha bongo: picha na maelezo

Chemsha bongo: picha na maelezo

Ubumuntu

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
14,387
Reaction score
10,965
ImageUploadedByJamiiForums1412206190.517507.jpg

Salaam wana JF,

Katika hii picha, unaweza kusema hiyo picha imepigwa wapi na nini kazi (kwa wakati uliopits, ya hicho kinachoonekana kwa chini?
 
Nzi sina mamlaka ya kuhoji mambo binafsi ya mtu lakini kwako naomba nifanye hivyo!!! Kwanini umejichagulia ID hiyo? Nikimfikiria huyo mdudu alivyo na Tabia zake,mazingira anayoishi, vyakula anavyokula nk nabaki na mshangao tu
Kumbuka: PERCEPTION CREATES REALITY ....!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom