Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,322
- 10,799
Naomba nianze kwa kusema, haya nitakayoyaandika, hakika, ningekuwa na madaraka, ningeyafanya bila kuwaza. Kwa maana hiyo, ninatoa ushauri wa kinadharia tu.
Navipongeza vyama vya upinzani Tanzania kwa kazi kubwa sana ambayo vimelifanyia taifa hili. Toka mwaka 1992 (baada ya mfumo wa vyama vingi kurudi) vimefanya kazi katika mazingira ambayo kwa uwezo wa kawaida wa kisiasa ni vigumu kufanikiwa.
Vimekuwa vikifanya kazi katika mazingira ambayo ni sawa na kufanya boxing huku umefungwa mikono na miguu! Lakini licha ya kuwa katika hayo mazingira, kwa ajabu kabisa, vimeweza hata kutumia pumzi ya kutoka mdomoni na kumyumbisha mpinzania wake, CCM.
Mara kadhaa vimeweza hata kujitupa (vikiwa vimefungwa hivyo hivyo) na kumwangukia mpinzani wake. Lakini, as expected katika mazingira hayo, vyama hivyo uishia kupigwa KO, huku mpinzani wake akijitapa kwa ushindi.
Katika mazingira hayo ya unfair boxing match, wapinzani wameweza kuamsha washabiki (watanzania) na kuwaeleza jinsi mechi isivyo na haki, jinsi refa wa mechi anavyoendelea na pambano na kumpa points bondia CCM, licha ya kuona bondia upinzani kafungwa mikono na miguu.
Kwa maajabu, licha ya washabiki kuelezwa hali hiyo na kupiga vifijo vya kukubali kwamba hali ya mechi haiko sawa, bado mwisho wa siku utupa lawama kwa bondia upinzani, kwamba ni mzembe anayekubali kipigo cha KO.
Sasa nirudi kwenye hoja ya msingi. Ushauri wangu kwa UKAWA (namaanisha UKAWA ya bila Lipumba) ni huu:
1. Sasa kaeni kwenye cruise control mode. Kuleni bata na maisha; kwani maisha mafupi haya. Mnapigania mashabiki waliokufa (I'm sorry to say so), hata mfanyanye, mashabiki hao hawawezi kumka na kukabiliana (either in a soft or hard way) na bondia CCM anayemtumia refa na kamisaa, licha ya kuwa keshamfunga miguu na mikono bondia upizani.
Mtaishia kupigwa KO kila mara, na kutolewa manundu tu! Ila kwa wakati huu, vumilieni hizo ngumi, nyiye wala msijaribu kujibu kama mlivyofanya awali (iwe kwa kujitupa kimaajabu au kutumia nguvu kutoa pumzi mdomoni), kuweni kwenye cruise control, mpaka 2020.
2. Itakapofika 2020, kama mazingira ya mechi ni yaleyale, mvue hizo gloves na kuziwekwa kwapani. Naamini watu wengi wanaopenda usawa katika michezo (soma siasa) watawaona nyiye ni heroes. Kuendelea kushiriki mechi katika hali ilivyo sasa, mtakuwa mnamsaidia bondia CCM ku-legitimise uhalali wa mechi (soma uhalali wa demokrasia).
3. Na mwisho, mkiona sawa pia, pambaneni, lakini mpambane kwa ajili yenu na siyo kwania ya kuwafurahisha (hapa soma kuwatumikia) washabiki (soma wananchi). Pambaneni hivyo hivyo, mwisho wa siku, katika ngumi hata mshindwa naye upata senti kidogo. Kuleni ngumi za kutosha, lakini baada ya hapo chukueni mpunga wenu na muendelee kuuguza majeraha huku mkila maisha. Never sweat again for mashabiki hawa wa kitanzania.
Lema, tulia zako tu; ukitoka jela kuwa kwenye cruise control. Lissu, fanya hivyo pia. Zitto, malizia PhD yako (kama uliendelea na kusoma), kisha nenda kafundishe chuo. Mbowe, piga biashara zako tu mzee. Mnyika, you are smart enough to go back to Varsity, earning your degrees, and even becoming a professor.
You have said it all; you have done it all; you have given all that you can. It is enough now wazee. Give it up; as you are fighting for dead people (I think Kenyatta once told Mwalimu this, right?), they will never wake up. May be until when Jesus comes back.
[HASHTAG]#micdrop[/HASHTAG]