Search results

  1. M

    Gari kuwa na miss asubuhi au ukipaki muda mrefu

    Heshima zenu wakuu. Kuna gari asubuhi inawaka ila inakuwa kama ina miss hivi na rpm inakuwa chini sana hadi wakati mwingine inazima. Ukiiacha kwa kama dakika 2 hivi miss inakata na rpm inatulia vizuri kabisa. Hii hutokea asubuhi au kama umepaki gari muda mrefu - masaa kuanzia 3 na kuendelea...
  2. M

    Msaada: Betri ya Samsung J7 (2016)

    Heshima kwenu wakuu. Natafuta betri (original kama itawezekana) ya samsung J7 (2016). Hii niliyonayo imechoka balaa. Chaji kukaa hata 2 hours ni bahati. Nimejaribu kuzunguka madukani wananishangaa tu. Wengine wanasema wameagiza toka mwaka jana August hadi leo hazijafika. Kwa mwenye nazo au...
  3. M

    Ukweli kuhusu mileage

    Heshima kwenu wakuu! Kwanza niseme kuwa sio mtaalamu katika mambo ya magari. Naomba kujua ukweli kuhusu ubora wa gari unavopungua kadri gari inavozidi kutembea. Ni kilometa ngapi ambazo gari ikishafika hiyo gari inakuwa imepoteza ubora wake? Naomba ushauri hasa kwa gari aina ya Noah...
  4. M

    Simu ya landline yenye uwezo wa kutoa WIFI

    Heahima zenu wakuu! Nimeambiwa kuwa kuna simu za mezani ambazo zina support 3G/4G/LTE networks na zina uwezo wa kutumika pia kutoa wireless connection. Naomba kujua kama hii taarifa ni ya kweli na kama ni kweli naipata wapi na kwa gharama kiasi gani? Ikiwezekana kushauriwa na brand ya kuchukua...
  5. M

    USAFIRI WA TRENI TAZARA

    Heshima zenu wakuu. Natarajia kusafiri wiki ijayo kwa Treni ya Tazara kuelekea Makambako. Naomba kujua kwa wenye uzoefu wa treni hiyo. 1. Kuna mgahawa ndani ya treni? 2. Kuna vyoo? Vipo kwa mabehewa yote? Namaanisha madaraja yote (first to third class) Naomba kuwasilisha!
  6. M

    Msaada: jinsi ya ku configure home wifi ya airtel

    heshima zenu wakuu. Nimenunua home wifi devce ya airtel juzi ila nashindwa kuifanya ianze kurusha wireless network lwa simu na pc hapa home. kwa anayejua please? airtel nimewapigia ila hawapokei simu wala hawajibu mails. Naomba kuwasilisha
  7. M

    Vipimo kwa ajili ya ndoa

    Habari wakuu. Nimeanza kuona naelekea kwenye ndoa rasmi. Naombeni maelekezo ni wapi naweza pata huduma ya kupima HIV nimbebe na mtarajiwa wakatupime kwa pamoja. Naomba kuwasilisha
  8. M

    Loan status HESLB

    Heshima zenu wakuu. Naomba kuuliza ni utaratibu gani wa kufata kupata loan payment status ya marejesho ya mkopo wa HESLB. Nalipa toka 2014 sasa na hili ongezeko nataka kujua namaliza lini wasije wakanipitiliza kituo. Naombeni kuwasilisha
  9. M

    Security cameras

    Habari wapendwa. Hope mko salama kabisa. Nahitaji kufunga security cameras ofisini kwangu. Naombeni mnishauri zinapatikana wapi? Aina gani ni nzuri na bei yake. Nahitaji camera 3 moja iwe night vision. Nawasilisha.
  10. M

    Ajali Morogoro: Basi la Sekenke express la Dar , mtu 1 afariki na 11 wajeruhiwa

    Ajali imetokea asubuhi hii eneo la mkundi Morogoro (kama dakika 50 zilizopita). Basi la sekenke express kutokea Dar kwenda kanda ya ziwa limehama njia likagonga mti na kupinduka na kugeukia lilikotoka. Mtu mmoja amepoteza maisha na wengine 11 wamejeruhiwa.
  11. M

    Msaada: Uhakiki wa TIN

    Heshima zenu wakuu. Naomba aliyefanya uhakiki wa TIN anipe dondoo za nini kinahitajika huko. Niko mkoani nataka kusafiri kuja Dar kwa ajili hiyo tu. Asanteni
  12. M

    Mandela road kuna nini leo?

    Heshima zenu wakuu. Nimekuja mjini kuungana na familia kwa ajili ya sikukuu ijayo. Toka saa kumi na mbili nimetoka ubungo ila hadi saa hizi bado sijafika hata buguruni. Ni utaratibu wa kila siku au leo imekuwa mpya?
  13. M

    Tra tra tra tra

    Heshima zenu wakuu. Nimeamua kulipa kodi kwa hiari ila nasikitika kwamba TRA wameniangusha. Tangu saa tatu asubuhi niko TRA dodoma hapa. Nalipia motor vehicle ila nasikitika MAXIMALIPO wanasema mtandao wa TRA unasumbua. Tangu nifike hapa wameweza kulipa watu wanne tu. Kulipia kwa njia...
  14. M

    Mgao wa umeme special

    Wakuu Heshima yenu. Naomba kujua kama Tanesco wametangaza mgao special? Hapa kibaigwa, jimbo la aliyekuwa naibu spika, wilaya ya Kongwa. Tunapata umeme kwa masaa manne tu kwa siku. Umeme unawaka saa nane mchana wanakata saa 12 jioni hadi kesho saa nane mchana. TANESCO kama imeshindikana kabisa...
  15. M

    Gas cooker

    Heshima zenu wakuu. Natumia gas cooker yenye oven kwa chini. Ishu ni kwamba sijawahi jua pa kuwashia hii oven. Msaada please. NB. Ni four plates, gas only. Manufacturer: westpoint.
  16. M

    Airtel modem

    Heshima zenu wakuu. Naomba msaada hapa kidogo. nina modem ya airtel inapig kazi kama kawa ikiwa na network type HSPA ila ikibadilika kwenda HSDPA, inakuwa slow balaa yaani hata kufungu facebook page inabidi uwe na kikombe cha chai pembeni, wakati inaload unapata chai. Kuna jinsi gani naweza...
  17. M

    Startimes

    Heshima zenu wakuu. Kiukweli napata tabu sana na startimes decoder. Yaani picha zinakwama balaa, nimeweka hadi antennae yao ila hakuna improvement yoyote. Kuna mtu kaniambia nitafute antennae ya Easy tv. Je ni kweli inasaidia? Mwenye uzoefu please!?
  18. M

    Weekend movie eatv

    Heshima zenu wakuu. Hope mwaka unaisha salama. Msaada tutani wakuu, kuna movie imeonyeshwa last sunday na ikarudiwa jana usiku EATV. Nimesikia ni full vituko na lugha gongana. Kwa anayejua jina lake tafadhali anipatie nikaitafute nitanulie mbavu na familia xmass. Maandalizi mema ya thikukuu.
  19. M

    Naomba unisamehe

    Heshima zenu wakuu. Hope mko po. Kuna kawimbo fulani nausaka sasa nimesahau jina la aliyeimba. Some lines in it zinasema "naomba unisamehe, kosa nililofanya. Hakika mi binadamu, kokosea nimeumbiwa". Anayefahamu anitajie walau jina la mwimbaji. Sorry kama nimeweka ktk jukwaa tofauti. Thanks in...
  20. M

    Fiesta 2012

    Heshima zenu wakuu. Samahani naomba kwa anayejua zinapopatikana tiketi za fiesta hapa Dar (tofauti na getini) anitaarifu. Nice siku.
Back
Top Bottom