Vipimo kwa ajili ya ndoa

Mmwaminifu

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
1,129
302
Habari wakuu. Nimeanza kuona naelekea kwenye ndoa rasmi. Naombeni maelekezo ni wapi naweza pata huduma ya kupima HIV nimbebe na mtarajiwa wakatupime kwa pamoja.

Naomba kuwasilisha
 
Huo ugonjwa wa zamani ndo watu wanaangalia na kutilia mkazo kupima wanaacha vitu genetical ambazo pia ni muhimu kufanyia vipimo.

Omba ushauri wa vipimo vya kupima pia na mwenzi wako siyo ngoma tu
 
Huo ugonjwa wa zamani ndo watu wanaangalia na kutilia mkazo kupima wanaacha vitu genetical ambazo pia ni muhimu kufanyia vipimo.

Omba ushauri wa vipimo vya kupima pia na mwenzi wako siyo ngoma tu
Asante kwa ushauri. Kama unafahamu vitu zaidi vya kupima weka hapa mkuu kwa faida yetu sote.
 
Huu sasa ni ulimbukeni haujui ukimwi unapimwa wapi? au ndio style yakutaka kukimbia tu majibu
Au what if me naishi burundi na wewe uko Gambia?
 
Duh! Members Wamemkata Jamaa Mbali
Nenda Vituo Vya Afya Hasa Vya Serikali Ya Viwanda Maana Ni Bure Tu
Magonjwa Ni Mengi Kuna Kupima Sickle Cell
Na Mambo Kadhaa Wa Kadhaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom