Naomba unisamehe

Naomba unisamehe

Mmwaminifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
1,129
Reaction score
302
Heshima zenu wakuu. Hope mko po. Kuna kawimbo fulani nausaka sasa nimesahau jina la aliyeimba. Some lines in it zinasema "naomba unisamehe, kosa nililofanya. Hakika mi binadamu, kokosea nimeumbiwa". Anayefahamu anitajie walau jina la mwimbaji. Sorry kama nimeweka ktk jukwaa tofauti. Thanks in advance wakuu.
 
Wewe inaelekea ulikuwa unaongoza sana kwa kuandika nyimbo nyuma ya madaftari!
Heheheee ni kweli aisee Kipipi yan kuna nyimbo nazikumbuka tangu nikiwa shule enzi zetu na nilikuwa na daftali la nyimbo kabisaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Yamenikuta mkuu. Natafuta gia ya kurudisha kondoo kundini.

pole ikishindikana tupa kuleeee!!!! yan usumbuke bana, maisha yenyewe stress mtupu, kazi / biashara ndo usiseme afu bado na mtu mzima mwenye akili timamu aku-stress lol!!!!!
 
pole ikishindikana tupa kuleeee!!!! yan usumbuke bana, maisha yenyewe stress mtupu, kazi / biashara ndo usiseme afu bado na mtu mzima mwenye akili timamu aku-stress lol!!!!!
Hivi hujanimiss charminglady ?
Nilishakuambia achana na C6 unadengua shauri yako utaoteza bahati ooooohh

BTW Nimekumiss shemito!
Salamu zangu kwa Elizabeth Dominic
 
Last edited by a moderator:
pole ikishindikana tupa kuleeee!!!! yan usumbuke bana, maisha yenyewe stress mtupu, kazi / biashara ndo usiseme afu bado na mtu mzima mwenye akili timamu aku-stress lol!!!!!

I promise to work on this one. I'll be back with the results.
 
Thanks wote jamani. Nimepata wimbo tayari. Good night.
 
Back
Top Bottom