Startimes

Startimes

Mmwaminifu

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
1,129
Reaction score
302
Heshima zenu wakuu. Kiukweli napata tabu sana na startimes decoder. Yaani picha zinakwama balaa, nimeweka hadi antennae yao ila hakuna improvement yoyote. Kuna mtu kaniambia nitafute antennae ya Easy tv. Je ni kweli inasaidia? Mwenye uzoefu please!?
 
Hawa jamaa wamefanya kiwakomoa wanao wachakachua kumbe wanajikomoa. Halo tatizo likiisha jua kuna iwezekano wa kichakachua. Tunawasubilia signal zao zianye kazi. Mia
 
Heshima zenu wakuu. Kiukweli napata tabu sana na startimes decoder. Yaani picha zinakwama balaa, nimeweka hadi antennae yao ila hakuna improvement yoyote. Kuna mtu kaniambia nitafute antennae ya Easy tv. Je ni kweli inasaidia? Mwenye uzoefu please!?

Mkuu hapo tatizo c antena kwani wiki hii ni majanga matupu c kwako tu,nadhani na hali hii ya mawingu hususani kwa dar inachangia sana,mi ninatumia antena ambayo ni powerfull,sana ambayo hata buster huwa ctumii ila kwa wiki hii imegoma,unaangalia chanel mala no signal!
 
Asante kwa angalizo mkuu
 
Kuna mtu kaniambia nitafute antennae ya Easy tv. Je ni kweli inasaidia? Mwenye uzoefu please!?

SIo antenna tu, kama unaishi Dar nunua kabisa king'amuzi cha easy TV usahau masahibu yote ya Startimez. Hutajutia
 
Asante mkuu. Unaweza nipa gharama zao? Decoder na monthly payments plus channels zilizomo? Ntashukuru sana mkuu.
 
Startimes majangaaa majangaaaaa...........
hamieni continetal huku hakuana malipo ya kila mwezi full kujiachiaa....
 
Asante mkuu. Unaweza nipa gharama zao? Decoder na monthly payments plus channels zilizomo? Ntashukuru sana mkuu.
Wapo Zhonghua Garden pale Morocco, inagwa wana mawakala Majumba 6 Ukonga na Mwenge. Gharama za kisimbuzi ni 100,000/- kwao na 120,000/- kwa wakala ambae anakufungia. Gharama hiyo inahusisha waya mita 15, antenna na gharama za ufundi. Gharama kwa mwezi ni 9000/-
Channel zilizopo:-
  • Itv, Tbc1, Clouds, DTV, Channel 10, Eatv, Capital Tv, KTN, Citizen Tv, UBC (Local+East Africa channels)
  • Bbc World, Al Jazeera, CCTV (Int'l News)
  • Duba Sport, Optima Sport (Sports)
  • EWTN, Emmanuel TV, Peace TV, (Religious)
  • MBC 1,2,3,4 MTV, Lotus (Movies/Entertainment)
  • Nikkelodeon, MBC 3 (Cartons) na nyingine ambazo sijazikumbuka. Ila kijumla zipo channels 33 (5 ni za kichina)
Huwa haikwami hata kidogo, sijajutia tangu nimeinunua mwezi Januari mwaka huu
 
Asante mkuu!
 
SIo antenna tu, kama unaishi Dar nunua kabisa king'amuzi cha easy TV usahau masahibu yote ya Startimez. Hutajutia

mi niliuza hicho kisimbuzi chao kwa wekundu 5, 'sa hivi nimekaa dstv.

jaribu jaribuni kuelekeza antenna kisarawe.
 
Back
Top Bottom