Mmwaminifu
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 1,129
- 302
Heshima zenu wakuu.
Naomba kuuliza ni utaratibu gani wa kufata kupata loan payment status ya marejesho ya mkopo wa HESLB. Nalipa toka 2014 sasa na hili ongezeko nataka kujua namaliza lini wasije wakanipitiliza kituo.
Naombeni kuwasilisha