Mmwaminifu
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 1,129
- 302
Heahima zenu wakuu!
Nimeambiwa kuwa kuna simu za mezani ambazo zina support 3G/4G/LTE networks na zina uwezo wa kutumika pia kutoa wireless connection.
Naomba kujua kama hii taarifa ni ya kweli na kama ni kweli naipata wapi na kwa gharama kiasi gani? Ikiwezekana kushauriwa na brand ya kuchukua itakuwa vizuri zaidi.
Asanteni na wakati mwema!