Msaada: Betri ya Samsung J7 (2016)

Mmwaminifu

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
1,129
302
Heshima kwenu wakuu. Natafuta betri (original kama itawezekana) ya samsung J7 (2016). Hii niliyonayo imechoka balaa. Chaji kukaa hata 2 hours ni bahati. Nimejaribu kuzunguka madukani wananishangaa tu. Wengine wanasema wameagiza toka mwaka jana August hadi leo hazijafika.

Kwa mwenye nazo au kujua zinapopatikana please tusaidiane.
IMG-20190511-WA0067.jpeg
IMG-20190511-WA0066.jpeg
20190511_183543.jpeg
 
Upo wapi kiongozi. Nenda KKo kuna kila kitu hadi Roho za watu hukosi
. Asante sana kiongozi. Tatizo ni kwamba sina utaalamu wa kutambua original (au angalau yenye nafuu) na feki. Kuna siku nimeingia K/koo nikaibuka na kituko. Ndio maana nikaomba kwa wataalamu wa humu ili nipate muongozo.
 
Boss ukifika kko mtaa wa Aggrey ulizia Dukani kwa Erick. Utaona kuna watu kibao wananunua kwa foleni hapo. Nunua betri hapo
. Asante sana kiongozi. Tatizo ni kwamba sina utaalamu wa kutambua original (au angalau yenye nafuu) na feki. Kuna siku nimeingia K/koo nikaibuka na kituko. Ndio maana nikaomba kwa wataalamu wa humu ili nipate muongozo.
 
. Asante sana kiongozi. Tatizo ni kwamba sina utaalamu wa kutambua original (au angalau yenye nafuu) na feki. Kuna siku nimeingia K/koo nikaibuka na kituko. Ndio maana nikaomba kwa wataalamu wa humu ili nipate muongozo.
Pole mkuu nenda samsung service center utapata original kbs ila andaa pesa ya kutosha si chini ya elfu 50.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom