Security cameras

Mmwaminifu

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
1,130
302
Habari wapendwa. Hope mko salama kabisa.

Nahitaji kufunga security cameras ofisini kwangu. Naombeni mnishauri zinapatikana wapi? Aina gani ni nzuri na bei yake. Nahitaji camera 3 moja iwe night vision.

Nawasilisha.
 
Ingia inbox chief
 
Habari mdau nafunga camera za turbo hd na warranty ya mwaka mzima seti inaanzia camera 4 bei ni 1,500,000/ vifaa na ufundi na seti ya camera 8 tsh. 2,500,00/ ufundi na vifaa camera ni za high quality. Utaunganishiwa kuona kwe simu bure
Call:0764818022
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom