Search results

  1. dfreym

    Nawezaje kupunguza gharama za umeme kipindi hiki cha mgawo?

    Habari, bila shaka Wote tunajua changamoto tuliyonayo watanzania kwa sasa hasa katika suala la mgao wa umeme , ambao umegeuka mwiba kwa wajasiliamali wengi. Changamoto niliyonayo ni matumizi makubwa sana ya Fedha hasa katika kununua mafuta ya Petroli. Ambapo kwa mzigo nilionao Jenereta inatumia...
  2. dfreym

    Nawezaje kujua kampuni fulani ni halali au ya kitapeli?

    Nimefanikiwa kupata kampuni ya Utengenezaji Uuzaji wa Industrial Incubator za Vifaranga vya kuku, kampuni hiyo inaitwa WUXI SINOPFE INTERNATIONAL TRADING CORPORATION iliyoko Beijing (kama sijakosea). Kampuni hii nimejaribu kuwasiluana nao kupitia details zao walizoziweka kwenye website yao...
  3. dfreym

    Nahitaji Industrial Incubator (Setter) na Hatcher

    Nimekuwa napata changamoto kwa upande wa hizi incubator ndogo za sido hata za kichina. Zimekuwa nyingi hazina utotoleshaji wa kueleweka. Mara nyingi ni pata potea. Siku nyingine inafanya vizuri mpaka unaisifia ila siku nyingine inaharibu Mayai mpaka kichwa kinauma. Nimejaribu kufanya...
  4. dfreym

    Natafuta bati(sheet)Zinazotumika kutengenezea masanduku ya wanafunzi

    Bati hizi ni zile laini au nzito kidogo ambazo hutumika kutengenezea loka/ masanduku ya bati (maloka) ya kutunzia vifaa vya wanafunzi wawapo bwenini. Msaada tafadhali. Yanapatikana wapi na Mawasiliano ya wauzaji.
  5. dfreym

    Kwa nini Gari za Nissan Qashqai siyo maarufu sana Tanzania?

    Kiukweli katika fuatilia yangu ya magari. Gari za Nissan Maarufu ni Morano, Dualis, X- trail, Nissan Patrol, Juke, na manufacture wengine kama Subaru, Toyota na kadhalika. Gari za Nissan Qashqai ni nzuri sana kimuomekano na ulaji wa mafuta. Na nimefuatilia hata engine zake nyingi ni 1000+ mpaka...
  6. dfreym

    Msaada miche ya vitunguu inakauka

    Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu. Msaada please.
  7. dfreym

    Msaada Miche ya vitunguu inakauka

    Jamani nimeanza ukulima wa vitunguu, tatizo miche inapukutika sana kwenye kitalu. Inanyauka, japo naimwagilizia kila siku. Ni Mara yangu ya kwanza kulima vitunguu. Msaada please.
  8. dfreym

    Dagaa wa Chakula cha kuku

    Nataka nianze kufuga kuku wa kisasa tatizo nahofia dagaa na upatikanaji wake kwa anayejua ntawapataje kwa bei nafuu, kwa kanda ya ziwa anielekeze tafadhali..
  9. dfreym

    Wakala wa mbegu kahama

    Nataka nilime vitunguu. Na kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua ili upate mbegu halisi ni vyema ukanunua kwa wakala wa mbegu.sasa nitamjuaje kama huyu ni wakala halisi? Kwa anayemfahamu kwa kahama anisaidie kunielekeza ikiwemo na sehemu au mawasiliano, Nahitaji mbegu za red Bombay...
  10. dfreym

    Ntapata wapi kitabu cha mkimbizi?

    Kama kuna mtu anaweza nielekeza kitabu kama hicho bado kinachapishwa na kuuzwa. Kama ndiyo ntakipata wapi kwa dar.
  11. dfreym

    Anahitajika Fundi Computer- KAHAMA

    kwa wale wenyeji wa mji wa kahama, ni fundi yupi ni mzuri katika maswala ya hardware? laptop yangu haitoi sauti. ila nikiconnect headphone inatoa sauti. au kwa yeyote Mwenye suluhisho la tatizo anaweza toa maoni. Pia betri yake na keyboard naweza pata wapi na kwa shillingi ngapi. BRAND...
  12. dfreym

    The best android voice recorder

    msaada: mwenye kufahamu application nzuri itakayo faa kwenye android. inayorecord sauti vizuri ya mtu anayenipigia. nimejaribu androrec inarekodi sauti kwa mbaali sana. kiasi kwamba najikuta inafanya kazi vizuri pale ninapoweka loud speaker. Ipi ntaipata iliyo bora na inayorekodi clealy mtu...
  13. dfreym

    je simu yangu inahitaji antvirus?

    wadau mi ni mmoja wa internet addicted. mara nyingi sana nimekuwa nikijihami kwa kuinstall strong antivirus. hiyo ni kwenye laptop ila sasa hivi nimenunua ka samsung galaxy . je na kenyewe kanahitaji antvirus? kwani kila siku ni wa kusurf na kudownload kwa simu. natumia android jelly bean.
  14. dfreym

    msaada: simu yangu inagoma kudownload kupitia Google play

    Ni samsung galaxy s advance gt i9070. Inagoma kudownload application yoyote kwenye Google play. Internet iko sawa tu kwani natumia 3g. Na inabrowse vizuri tu. Tatizo lilianza juzi. Kwa kugoma whatsapp nikaiunstall kujaribu kuinstall upya inagoma kuregister namba yangu. Nikajaribu kureset...
  15. dfreym

    msaada: simu yangu inagoma kudownload kupitia Google play

    Aina ya simu ni samsung galaxy s adcanced gt i9070. Tangu juzi imegoma kudownload any application on google play inanambia error 403 Pia imegoma na whatsapp nika reset factory imegoma kuregister whatsapp phone number. Nimejaribu njia nyingine kama kuunistall n a kureinstall inagoma. Help...
  16. dfreym

    Nikita season 03 episode 01 is out

    Samahani kama taarifa imerudiwa. ila napenda kuwataarifu kwa wale tuliokuwa tunaisubiria hii season, jamaa wameanza kuirusha tena. enjoy. for torrent download tembelea hapa Download Nikita S03E01 HDTV x264-LOL[ettv] Torrent - KickassTorrents
  17. dfreym

    Ni software gani hutumika kutengenezea video za music?

    Wakuu naomba kuuliza hawa jamaa wanaotengeneza video za music huwa wanatumia software zipi kwa editing na production? Nawasilisha....
  18. dfreym

    je kusamehe ni lazima kurudiana?

    wadau, habari, kuna maswali kadhaa ambayo ningependa tujadili......... watu hukoseana katika mahusiano, tena inafikia hatua mpaka kuachana (sababu ya makosa hayo). kwa mfano makosa kama kufumania, matusi (kutukanwa/kutukana), kudhalilishwa, kusalitiwa na mengine meengi...... kuna baadhi ya...
  19. dfreym

    Je unafuatilia ama ulifuatilia Tv series gani?

    KUNA TV SERIES KIBAO, ILA MIONGONI MWAO ZILIZO BAMBA NI NIKITA (ikaishia hewani) GAME OF THRONES (ikaishia hewani), KUNA PREASON BREAK, 24 HRS. NAHITAJI KUANZA KUFUATILIA TV SERIES NYINGINE NZURI, JE NI IPI AMBAYO UNAHISI INAWEZA KUWA NA LEVEL HIZO HAPO JUU, AMBAYO UMEWAHI KUIFUATILIA, AU BADO...
  20. dfreym

    Just cry like me.....

    https://fbcdn-sphotos-a.akamaihd.net/hphotos-ak-ash4/318070_360600530676042_145263028_n.jpg
Back
Top Bottom