dfreym
JF-Expert Member
- Oct 14, 2010
- 342
- 87
Nimefanikiwa kupata kampuni ya Utengenezaji Uuzaji wa Industrial Incubator za Vifaranga vya kuku, kampuni hiyo inaitwa WUXI SINOPFE INTERNATIONAL TRADING CORPORATION iliyoko Beijing (kama sijakosea).
Kampuni hii nimejaribu kuwasiluana nao kupitia details zao walizoziweka kwenye website yao www.sinopfe.com, na kuniunganisha na mtu wao wa masoko kwa namba ya WhatsApp. Tumepatana vizuri mpaka akanitumia proforma invoive kwa ajili ya malipo. Shida ikaja nikamuuliza mna wateja Tanzania? Akasema Ndiyo wapo wengi, nikamuomba anipe mawasiliano ya mbongo hata mmoja niwasiliane nae akagoma, akasema haruhusiwi kutoa hayo Mawasiliano bila idhini yao, nikamwambia awasiliane nao wamruhusu anipe hayo Mawasiliano , akanijibu wamemwambia hawahitaji usumbufu" Nikashituka hii ni kweli?
Nimejaribu kuwasiliana na Ubalozi wa Tanzania China kwa njia ya e-mail (ambazo aliwahi kuzitoa balozi KAIRUKI) Kabla haja hamishwa naona kimya hawana muda hata wa kujibu emails siku hizi.
Sasa nawasi wasi kuhusu usalama wa fedha zangu. Mwenye uwezo wa kunisaidia jambo hili kabla sijaingia mkenge anisaidie Tafadhali.
Taarifa zao za kibenki hizi hapa chini.
Bank information by TT
ACCOUNT NUMBER ********
Beneficiary WUXI SINOPFE INTERNATIONAL TRADING CORPORATION
TEL +86 510 83771139 Fax +86 510 83771826
BENEFICIARY BANK BANK OF CHINA XISHAN SUBBRANCH.
SWIFT CODE ***** BANK ADD 82 XIHU ROAD M WUXI 214101 JIANGSU CHINA