Ni software gani hutumika kutengenezea video za music?

dfreym

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
342
87
Wakuu naomba kuuliza hawa jamaa wanaotengeneza video za music huwa wanatumia software zipi kwa editing na production?

Nawasilisha....
 
dah umeniacha nahisi nahitaji kuingia chimbo nizijue kiundani
 
unaweza kuanza na movie maker kama una xp, au windows 7, ni simple sana kutumia. hizi prog zimejumuishwa kwenye prog za kompyuta yako (hasa xp na 7), then ukiweza hapo tafuta more advanced prog..... gtym
 
unaweza kuanza na movie maker kama una xp, au windows 7, ni simple sana kutumia. Hizi prog zimejumuishwa kwenye prog za kompyuta yako (hasa xp na 7), then ukiweza hapo tafuta more advanced prog..... Gtym

hutu tudude ni rahisi kutengenezea documentary, hasa za picha. Na siyo music videos
 
unaweza kuanza na movie maker kama una xp, au windows 7, ni simple sana kutumia. hizi prog zimejumuishwa kwenye prog za kompyuta yako (hasa xp na 7), then ukiweza hapo tafuta more advanced prog..... gtym

Movie Maker kwa Music Videos? duh! haya bana kila mtu na ujuzi wake! Kama ni mimi kwa kuanzia Prog nyepesi zaidi ningemshauri MagixMovie Edit Pro

final cut au adobe premiere pro na pia pinnacle studio.Sony Vegas, Avid yaani ziko nyingi tu.

Pinnacle hapana, haina multiple layers kwenye timeline na inasumbua kwenye rendering ila kwa Sony Vegas na Avid sawa
 
kama ni mimi ningekushauri uanze na hizi nyepesi kama MagixMovie Edit Pro, Sony Vegas au Avid kisha ukishazimaster unaenda kwenye Adobe Premiere Pro

Kwenye Adobe Premiere unafanya Editing kisha unaitransfer direct kwenye After Effect kwa utundu zaidi kisha unaitupa kwenye Adobe InCore kwa DVD Menu za ukweli
 
Movie Maker kwa Music Videos? duh! haya bana kila mtu na ujuzi wake! Kama ni mimi kwa kuanzia Prog nyepesi zaidi ningemshauri MagixMovie Edit Pro

Pinnacle hapana, haina multiple layers kwenye timeline na inasumbua kwenye rendering ila kwa Sony Vegas na Avid sawa

Kuna pinnacle liquid nayo kali sana ingia google icheki.
 
hutu tudude ni rahisi kutengenezea documentary, hasa za picha. Na siyo music videos

yap kwa learner ni nzuri saana, mbona kuna video ya madee na dogo janja inaonekana kabisa na effect za movie maker?, ukiwa mbunifu bwana huhitaji vitu vikubwa,, pia unaweza kutumia prog zaidi ya moja kutengeneza video moja kama unahitaji effect tofauti, au kama unapenda kitu flan kwenye prog flan,, me nnanyo moja ina mb 300 nlitengeneza kwa movie maker af nkaitupia kwenye nero, last year, sembuse video za dk 5.. gtym
 
Sasa wandugu kama nimezawadiwa iMac (sijui ni inchi 21 hii ?) hiivi nitaweza kuyafunga hayo madudedude yote?(Hizo Video Editing Soft)Au Mac zina usumbufu gani? Na kwa kuongezea mimi nahitaji software kwa ajili ya kuedit picha kawaida,mnanishauri nitumie ipi wakuu? natanguliza Shukrani wanajamvi
 
Kama unahitaji Software yoyote ya Apple nitafute (hata kwa matengenezo), kwa kueditia picha tumia Photoshop
 
final cut x sio nzuri kihivyooo! ni version mpya kabisaa katika final cut pro versions! nimeitumia nikaiona iko a bit complicated! nimerudia final cut pro 7!
 
Back
Top Bottom