The best android voice recorder

dfreym

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
342
87
msaada: mwenye kufahamu application nzuri itakayo faa kwenye android. inayorecord sauti vizuri ya mtu anayenipigia. nimejaribu androrec inarekodi sauti kwa mbaali sana. kiasi kwamba najikuta inafanya kazi vizuri pale ninapoweka loud speaker.
Ipi ntaipata iliyo bora na inayorekodi clealy mtu anayekupigia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom