Wakala wa mbegu kahama

dfreym

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
342
87
Nataka nilime vitunguu. Na kwa uchunguzi mdogo nilioufanya nimegundua ili upate mbegu halisi ni vyema ukanunua kwa wakala wa mbegu.sasa nitamjuaje kama huyu ni wakala halisi? Kwa anayemfahamu kwa kahama anisaidie kunielekeza ikiwemo na sehemu au mawasiliano, Nahitaji mbegu za red Bombay. Mwenye kufahamu anielekeze/anisaidie ikiwezekana na gharama kwa kilo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom