Search results

  1. bigcell

    Kibaha hakuna maji siku ya tano

    Mji wa kibaha leo tuna siku ya 5 hatuna maji na hakuna Taarifa yoyote toka Dawasa kuwa kuna tatizo gani
  2. bigcell

    Tanzania yetu na elimu bure.

    Habari za jioni wanajamvi, jioni hii kwenye kipindi habari za radio clouds FM, mtangazaji kaeleza kuwa ktk jimbo la Ilemela Shule ya msingi Hekima yenye wanafunzi wapatao zaidi ya 850 wamepewa mgawo Tsh. 450,000/- toka Serekali kuu za mpango wa elimu bure. Na uongozi wa shule unasubiri maekezo...
  3. bigcell

    Msaada: Nataka kufungua Duka la Madawa Baridi ya Binadamu (Pharmacy)

    Wana Jf poleni na majukumu mbalimbali ktk ujenzi wa Tz yetu. Mimi nilikuwa muajiriwa wa serikali ktk Idara ya Afya. Nimekuwa ktk ajira kwa kipindi kirefu zaidi ya miaka 20, serikalini na nimefanya kazi kwa uadilifu mzuri bila ya kuwa na kashfa yeyote ile. Baada ya kuona maisha yanakwenda sina...
  4. bigcell

    Puma Filling Station Sinza Kijiweni ni wezi, EWURA fanyenyi uchunguzi

    Kuna thread ilitolewa majuzi na mdau humu ndani kuhusu kituo cha kujaza mafuta pale Sinza kijiweni, leo kwa kujaribu nilienda na rafiki yangu akiwa na gari yake IST, tukiwa ndani ya gari kwenye foleni ya kujaza mafuta hapo puma, mbele yetu kulikuwa na gari ndogo Fun Cargo ikijaza mafuta...
  5. bigcell

    Green tea can inhibit prostate cancer?

    haya kwa wanaume hii ni habari njema ; 11th Annual American Association for Cancer Research (AACR) International Conference on Frontiers in Cancer Prevention Research
  6. bigcell

    Haya madaktkari sharia ni msumeno kazi kwenu...!

    Two Physicians Charged in 9 Pain-Med DeathsRobert Lowes Authors and Disclosures Medical Student Rating: ( 0 Votes ) Rate This Article: Print This Email this Share FacebookTwitter processing.... August 15, 2012 —...
  7. bigcell

    Bomoa bomoa jioni hii mabwepande!

    Wakuu wana JF wakati nikiwa natokea Mabwepande kumsabahi jamaa zangu mida ya saa 11:30 jioni nilikuta tingatinga likivunja nyumba za Watanzania ambao walivamia maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya waathirika wa mafuriko kule Jangwani. Inasikitisha sana maana kwa maelezo niliyopewa na wananchi wa...
  8. bigcell

    The Genius boy!

    A first- std teacher, Ms Smith (Age 28) was having trouble with one of her students. The teacher asked, "Boy, what is your problem?" Boy Answered, "I'm too smart for the first- std. My sister is in the third- std and I'm smarter than she is! I think I should be in the third- std too!" Ms...
  9. bigcell

    Wanawake bwana kiboko!

    Hivi hizi taasisi na vyama vyama vya wanawake tz imekaaje hii; ` WBA - bank ya wanawake Tz` ` WAMA- wanawake na maendeleo` ` KIWOHEDE- Kilimanjaro Women H.... Development.. Mtanisaidia hapo kwenye H wana jf kirefu chake nimesahau` ` MEWATA- Chama cha madaktari wanawke TZ`...
  10. bigcell

    Mashabiki wa soka tz muwe na wamoja!

    Mashabiki wa soka tz tumekuwa silka moja ya kutopendana kwenye shida na raha hasa timu zetu zinapokutwa na matatizo, embu tuige kwa wenzetu huko majuu kwenye ligi za wenzetu. Angalia hii ya Fabrice Muamba kwenye mechi ya kombe la FA kati ya Tottenham Hotspurs na Bolton Wonderers alivyo anguka...
  11. bigcell

    Duh! Hi ni noma, ushauri please!

    Jamani nimechanganyikiwa naombeni ushauri, hivi navyopost hii thread siko sawa na demu wangu hatuongei wiki ya pili hakuliki hakulaliki nilimfuma na jamaa sehemu isyo rasmi kuanzia hapo hakuna maelewano ndani. Sasa mbaya zaidi hivi asubuhi hii nimepokea simu toka kwa demu mmoja ambaye...
  12. bigcell

    Msaada please: Nataka kuishaki tigo

    wana jf natafuta msaada wa kisheria jinsi ya kuishtaki mtandao wa tigo,wamezidi kuniibia(over charge) ni mwaka wa 3.5 sasa sina hamu nao kabisa.Nataka wanilipe fidia inatisha sana yaani wana wizi wa wazi wazi. Kwanza hawapokei simu ukiwapigia customer care, nina mwaka na miezi miwili sijawahi...
  13. bigcell

    Msaada please:Nataka kuishtaki tigo

    wana jf natafuta msaada wa kisheria jinsi ya kuishtaki mtandao wa tigo,wamezidi kuniibia(over charge) ni mwaka wa 3.5 sasa sina hamu nao kabisa.Nataka wanilipe fidia inatisha sana. Nawakilisha.
  14. bigcell

    watangazaji kuweni makini mnapotangaza!

    Wakuu kwema? usiku wa kuamkia leo wakati narejea home kutoka kuwapa pole wahanga wa mabomu ya gongo la mboto,niliikuta radio One inatumbuiza miziki laini,meseji za kuwaliwaza wafiwa,wahanga Walionusurika na milipuko ya mabomu ya g.mboto. Ila kitu kimoja ambacho nilishindwa kumuelewa mtangazaji...
  15. bigcell

    watangazaji kuweni makini mnapotangaza!

    Wakuu kwema? usiku wa kuamkia leo wakati narejea home kutoka kuwapa pole wahanga wa mabomu ya gongo la mboto,niliikuta radio inatumbuiza miziki laini,meseji za kuwaliwaza wafiwa,wahanga Walionusurika na milipuko ya mabomu ya g.mboto. Ila kitu kimoja ambacho nilishindwa kumuelewa mtangazaji wa...
  16. bigcell

    Diwani CCM Arusha ajiunga na CHADEMA

    Kwa kinachoonekana kukerwa na hila na ufisadi uliokithiri ndani ya ccm, diwani wa kata ya sombetini mkoani arusha Diwani Mawazo amejiunga na chadema leo alasiri kwenye mkutano ulioshindikana uliokuwa ukihutubiwa na katibu mkuu wa chadema Dr Slaa ktk viwanja vya nmc unga limited.Pia kwa ujumla...
  17. bigcell

    Elections 2010 Uchakachuaji waanza Bariadi

    Wakati ndo natoka kupiga kura nafika tu home nikafungulia choice fm ambayo bbc idhaa ya kiswahili wanaitumia kurusha matangazo maalum ya uchaguzi wa tanzania, nikasikia wanatangaza kuwa leo asubuhi saa 12 muda ambao wananchi wanakwenda kupiga kura, kuna watu ambao idadi yao hakutajwa...
  18. bigcell

    Hivi JK alialikwa kwenye mkutano mkoani Ruvuma?

    Jamani waungwana kwanza mambo vipi? mimi ni mgeni ndo kwanza nijunga mtandaoni kwa wana JF.Naomba kuuliza ngd zanguni hivi jk alialikwa mkutanoni mkoani Ruvuma au alitumia mabavu yake a.k.a ujeshi kuvamia mkutano wa walimu wetu?
Back
Top Bottom