Elections 2010 Uchakachuaji waanza Bariadi

bigcell

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
219
60
Wakati ndo natoka kupiga kura nafika tu home nikafungulia choice fm ambayo bbc idhaa ya kiswahili wanaitumia kurusha matangazo maalum ya uchaguzi wa tanzania, nikasikia wanatangaza kuwa leo asubuhi saa 12 muda ambao wananchi wanakwenda kupiga kura, kuna watu ambao idadi yao hakutajwa wameshtukiwa wakiwa wamebeba masanduku ya kura yakiwa na karatasi za kura zikiwa hazina muhuri wa nec, baada ya kuona mambo mazito wakawachomoka jamaa waliowakamata na kutokomea kusikojulikana.
 
Duh! hawa wakamataji nao hawakuwa serious :angry: . watu hawa wamewachomokaje. Wangewavua mashati yao na kuyatumia kama pingu wakati wakisubiri polisi
 
Nini ilikuwa Nia ya serikali na nec kutangaza kwa mguvu sana kwamba mtu akidhapiga kura arudi nyumbani?
 
Kapige kura badala ya kupoteza muda kuleta uongo kwenye ukumbi huu!
Mi nawashauri wagombea wawasiliane na watu wao. Hata kama sio kukaa katika vituo, lakini wawe macho sana huko mitaani...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom