Hivi JK alialikwa kwenye mkutano mkoani Ruvuma?

bigcell

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
219
60
Jamani waungwana kwanza mambo vipi? mimi ni mgeni ndo kwanza nijunga mtandaoni kwa wana JF.Naomba kuuliza ngd zanguni hivi jk alialikwa mkutanoni mkoani Ruvuma au alitumia mabavu yake a.k.a ujeshi kuvamia mkutano wa walimu wetu?
 
kwanza karibu jf family lakini suala zima la mabavu au mwaliko sana sana mko wa ruvuma mimi ningekuwa mmoja wa waalimu hao ningeshukuru sana kupata fursa ya kukaa na mh rais na kumueleza au yeye kupata fursa ya kutusikiliza waalimu na matatizo yetu kwa ukaribu zaidi watanzania tuache ulimbukeni tutetee utaifa sio upuuzi wengi wetu shida za waalimu hatuzijui kwa undani zaidi ya kuzisikia tu naamini ukiwauliza hao walimu walilichukuliaje suala zima la mh kuwepo hapo jibu lao unalijua tetea utaifa
 
Watakuwa walimwalika sidhani kama hawakuwa wamemwalika angelijialika. kwenye siku ya Mei Mosi hakualikwa na hakwenda ila yawezekana ali-lobby wamwalike kwenye huu uzinduzi wa jengo maana yaelekea anayo njaa kali ya kuonyesha bado anakubalika wakati sivyo.
 
Jamani waungwana kwanza mambo vipi? mimi ni mgeni ndo kwanza nijunga mtandaoni kwa wana JF.Naomba kuuliza ngd zanguni hivi jk alialikwa mkutanoni mkoani Ruvuma au alitumia mabavu yake a.k.a ujeshi kuvamia mkutano wa walimu wetu?

Dar Leo limemnukuu kiongozi mmoja wa tukta akisema alialikwa "kama taasisi".
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom