Kibaha hakuna maji siku ya tano

Kibaha hakuna maji siku ya tano

bigcell

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
219
Reaction score
60
Mji wa kibaha leo tuna siku ya 5 hatuna maji na hakuna Taarifa yoyote toka Dawasa kuwa kuna tatizo gani
 
Mji wa kibaha leo tuna siku ya 5 hatuna maji na hakuna Taarifa yoyote toka Dawasa kuwa kuna tatizo gani
Kwanini Dawasa(Dar es salaam) ahudumie hadi Kibaha(Pwani). Tatizo linaanzia hapo
 
Back
Top Bottom