Search results

  1. kauzu

    Msaada wa kisheria katika kuanzisha kampuni

    Poleni na majukumu ya kila siku.Nilikuwa naomba msaada wa kisheria juu ya uanzishwaji wa kampuni.Kwa yeyote anayeweza kunisaidia katka hili naomba tuwasiliane kwa 0759-835929,au 0717-034065
  2. kauzu

    Walimu wa shule za msingi ndio kiboko ya serikali

    Walimu wa shule za msingi wameonekana ni waoga sana katika kutetea haki zao,lakini makucha yao yameonekana kwa 30% ya wanafunzi waliojiunga sekondari hawawezi kusoma na kuandika.Serikali iwe makini kwani baada ya ongezeko la ujinga litaendelea kwa kasi kubwa
  3. kauzu

    Nawezaje kupata driclor ?

    Naombeni msaada wa jinsi ya kupata dawa ya driclor coz nimesikia inatibu excessive underarm sweating.Plzzzz nisaidieni jamani
  4. kauzu

    Wa mwisho kulaa hapa jf

    Jamani mi naenda kulala naomba kwa uaminifu,naomba nimjue wa mwisho kulala hapa jf,kama ni wewe kabla hujalala,comment kwenye hii thread,kesho nitaicheki mshindi nitampa zawadi:a s 101::a s 101::a s 101:
  5. kauzu

    Msimamo wa ligi kuu england

    haya jamani msimamo ndio huo
  6. kauzu

    Elections 2010 Tanzania yenye maraisi wawili

    Kwa mara ya kwanza tunashuhudia Tanzania yenye maraisi wawili yani raisi wa tume ya uchaguzi(baba ridhiwani) na raisi wa WATANZANIA DR SLAA
  7. kauzu

    Elections 2010 Ccm oyeeeeeeeee

    NAJITOKEZA KUIPONGEZA CCM SIKU CHACHE BAADA YA KUCHAKACHUA KURA NA KUPATA KUSHINDA UBUNGE NA URAISI KILOMBERO,BEI YA CEMENTI YAPANDA KUTOKA 12,500-14,000 KWA MFUKO,NA HIYO NDIYO MAANA HALISI YA KASI MPYA ZAIDI,ARI MPYA ZAIDI NA NGUVU MPYA ZAIDI KATIKA KUMKANDAMIZA MTANZANIA.HAYA NDIYO MAISHA...
  8. kauzu

    Matokeo ya uchaguzi yasaidia kukua kwa msamiati kuchakachua

    Wana lugha nahisi msamiati kuchakachua umekuwa ni msamiati uliokuwa na kutumiwa sana katika lugha yetu ya taifa na kuwa ni msamiati uliopata umaarufu kwa kipindi kifupi,na kukua kwa msamiati kuchakachua kumesaidiwa na matokeo ya uchaguzi
  9. kauzu

    Elections 2010 Mteketa mbunge Kilombero

    MATOKEO YAMETANGAZWA MTEKETA KASHINDA CCM 40000+ CHADEMA 35000+:sad:
  10. kauzu

    Elections 2010 Ccm yaongoza uraisi jimbo la siha

    Kwa mujibu ya tume ya taifa ya uchaguzi JK amepata 65%[15570],SLAA amepata 30.49%[7226]:sad:
  11. kauzu

    Naomba mawasiliano na watanzania wanaosoma masters nje ya nchi

    Wana jf naomba mnisaidie kama naweza kupata mawasiliano na watu wanaosoma masters nje ya nchi ili niweze kujua michakato ya kusoma huko inakuwaje,kwani natamani kufanya masters ng'ambo,program ninazopenda ni bussines program kama bba,marketing au finance
  12. kauzu

    jamani wachumba hawapatikani kiurahisi ivyo

    washkadau poleni na michakato ya maisha ya kila siku.Wana jf wenzangu nawaomba tu ni wagusie hili kuwa wachumba haswa unaotegemea kuoa hawatafutwi elctonicaly haya mambo yanatkiwa manualy ndio uanaume wenyewe,kwanza itakujengea makonfo ukiwa nae
  13. kauzu

    Elections 2010 Huna kadi ya kupigia kura kaa kimya

    Wana jf mi nawapa tu ushauri kama mtu huna kadi ya kupigia kura ni bora tu,ukae kimya kuliko kuchangia ishu kibao kuhusu uchaguzi halafu we mwenyewe si mshirika,nia
  14. kauzu

    natafuta nafasi ya kusoma nje masters ya bussines nifanyeje

    washkadau mwenzenu nina kadigrii kangu kamoja,ila nataka nijiendeleze zaidi tena siyo bongo sasa ninawezaje kupata vyuo mtoni pamoja schoolarship
  15. kauzu

    natafuta nafasi ya kusoma masters ya bussines nifanyeje

    washkadau mwenzenu nina kadigrii kangu kamoja,ila nataka nijiendeleze zaidi tena siyo bongo sasa ninawezaje kupata vyuo mtoni pamoja schoolarship
  16. kauzu

    hiiiiiiiiiiiiiiiiiiii jf

    mwenzenu ni mgeni jamvini,naomba ushirikiano wenu waheshimiwa nami niwe great thinker
Back
Top Bottom