natafuta nafasi ya kusoma nje masters ya bussines nifanyeje

kauzu

Member
Oct 4, 2010
74
3
washkadau mwenzenu nina kadigrii kangu kamoja,ila nataka nijiendeleze zaidi tena siyo bongo sasa ninawezaje kupata vyuo mtoni pamoja schoolarship
 
]washkadau mwenzenu nina kadigrii kangu kamoja,ila nataka nijiendeleze zaidi tena siyo bongo sasa ninawezaje kupata vyuo mtoni pamoja schoolarship
.

Ukiwa hapa Bongo Scholarship inaweza kuwa ngumu kupatikana ila ukiwa tayari umejiunga na chuo na unafanya vizuri katika masomo yako upatikanaji ni mkubwa. Na hii ni kwa vyuo vilivyo na competition kuingia hasa kwa Internationals. Scholarship zipo kibao, ni uchakalikaji wako tu ukishaingia. Kwa vyuo vingi vizuri lazima Ufanye GMAT kama unampango wa kwenda kwenye course za Business. Si vyote vinahitaji GMAT lakini vyuo vizuri wanahitaji GMAT uwe umefahuru vizuri. Wasiyohitaji GMAT kupata scholarship nako ni vigumu maana wanaoingia nao ni wengi na competition inakuwa iko juu kwenye scholarship, hivyo kupata ni vigumu.


 
Kadigrii kako ni kamasomo gani na umekapata chuo kikuu gani na mwaka gani?toa taarifa kamili ili tuweze kukusaidia vizuri namna ya kutatua tatizo lako!!
 
Back
Top Bottom