jamani wachumba hawapatikani kiurahisi ivyo

kauzu

Member
Oct 4, 2010
74
3
washkadau poleni na michakato ya maisha ya kila siku.Wana jf wenzangu nawaomba tu ni wagusie hili kuwa wachumba haswa unaotegemea kuoa hawatafutwi elctonicaly haya mambo yanatkiwa manualy ndio uanaume wenyewe,kwanza itakujengea makonfo ukiwa nae
 
washkadau poleni na michakato ya maisha ya kila siku.wana jf wenzangu nawaomba tu ni wagusie hili kuwa wachumba haswa unaotegemea kuoa hawatafutwi elctonicaly haya mambo yanatkiwa manualy ndio uanaume wenyewe,kwanza itakujengea makonfo ukiwa nae

kamusi gani ina hayo maneno
 
Jamani Rose!!!! Ahh unanifanya siku yangu kuwa nzuri sana leo
ahh mwenzangu wee kuuuliza si ujinga
nkijua venue na time ya wachumba wanapopatikana itakuwa vyema au siyo bwna?ndo mana nauliza mimi iyo venue wap na sangap?nkajitwalie na mimi wangu tena watatu ..mmoja namchezesha uwanjani wawili wa akiba uyu akizngua namwta uyu anakuja dimbani.....!!!!!
 
washkadau poleni na michakato ya maisha ya kila siku.Wana jf wenzangu nawaomba tu ni wagusie hili kuwa wachumba haswa unaotegemea kuoa hawatafutwi elctonicaly haya mambo yanatkiwa manualy ndio uanaume wenyewe,kwanza itakujengea makonfo ukiwa nae

Mh,kuna mtu umeona kampata kwa staili hiyo?
Then that is a toy nanii sio binadamu huyo
 
ahh mwenzangu wee kuuuliza si ujinga
nkijua venue na time ya wachumba wanapopatikana itakuwa vyema au siyo bwna?ndo mana nauliza mimi iyo venue wap na sangap?nkajitwalie na mimi wangu tena watatu ..mmoja namchezesha uwanjani wawili wa akiba uyu akizngua namwta uyu anakuja dimbani.....!!!!!

mwaya,"ukimwi haukubaliki" jamani
 
ahh mwenzangu wee kuuuliza si ujinga
nkijua venue na time ya wachumba wanapopatikana itakuwa vyema au siyo bwna?ndo mana nauliza mimi iyo venue wap na sangap?nkajitwalie na mimi wangu tena watatu ..mmoja namchezesha uwanjani wawili wa akiba uyu akizngua namwta uyu anakuja dimbani.....!!!!!

Avatar yako na hiyo post yako vinaendana sana. I like it:)
 
Back
Top Bottom