Search results

  1. A

    #KilimanjaroNitahesabiwa

    Tupia #Nimehesabiwa kama uko Kilimanjaro au unakusudia kuwa K'njaro kabla ya kuanza mwaka mupya 2016
  2. A

    Duniani Hakuna Jipya

    Kila kitu marudio tu..
  3. A

    Ndoa uongo mtupu

    Ndoa uongo mtupu
  4. A

    JPM: Walipe Wastaafu EAC

    Mh. JPM naomba uelekeze macho kwa wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Africa Mashariki. ...walifanya kazi kwa uadilifu kama ilivyo kauli mbiu yako lakini HAWAJALIPWA haki zao. ..wengi wamekufa. ..ni dhambi kuona waliotumikia taifa wakipuuzwa Wasalaam
  5. A

    Mgao wa umeme: Nani anafidia hasara?

    Naona ifike mahali wateja wawe wanafidiwa hasara inayotokana na kukatwa umeme. Kuna uharibifu wa vifaa na pia bidhaa zinazohifadhiwa kwenye majokofu. ..kama tumeshalipia umeme sasa iweje makatizo ya umeme yakisababisha uharibifu tusifidiwe. Wasalaam ..Mteja mwema wa Tanesco
  6. A

    Kuanza Upya: Kasi hii ya JPM

    Wadau inawezekana kasi hii ikasababisha watu kupoteza kazi kwenye taasisi ambazo haziendeshwi kwa faida mfano TRL nk. Hapa jamvini unaweza kutoa ushauri hawa wenzetu waanzie wapi ili maisha yaendelee ... Karibu
  7. A

    Barabara za mitaa: ueledi wa mwendesha Greda

    Nilikuwa naongea na ndugu yangu aliye pugu majohe ameniambia kuwa Greda lilipokuwa linarekebisha barabara za mtaa kuna maeneo wameingia sana kwenye viwanda vya watu..hasa chake Kwa kuwa wadau mpo wenye uelewa kuhusu mambo haya ya barabara. je upana wa barabara ya mtaa ni upi? Kama mtu...
  8. A

    Kipima Joto :unaonaje kasi ya Mh. JP

    Kwa kipindi kifupi tumesikia mengi... Je, kwa mtazamo wako unaonaje kasi hii?
  9. A

    Wengi mna haka kaugonjwa

    Nimefuatilia kwa muda akaunti za Facebook nimeona kuna katabia cha kuweka picha selfie na wakati mwingine kupiga picha chakula Najiuliza hivi hivyo ndivyo vitu pekee vyenye umuhimu kwetu. Wenye haka kaugonjwa embu pokeeni dawa mpone. ..maana naona miaka inaenda bado hamponi
  10. A

    Alama ya Taifa :Sisi tuna nini?

    Leo nilikuwa natazama habari DW kuhusiana na suicide bombers huko ufaransa. ..nikaona mnara wa Aifel. Nikaanza kuvuta kumbukumbu nikakumbuka. Brazil.wanayo Ujerumani. Wanayo. Marekani. Wanayo China. wanayo Swali nililojiuliza miaka yote hii ya kujitawala sisi tumejenga kitu gani kama alama...
  11. A

    Tuchekee: Maswali na majibu ya kuudhi

    Swali: Hivi nini kimemuua marehemu? MFIWA: kifo
  12. A

    Namtafuta: Ndugu yangu Semeni

    Dada yangu Semeni kama uko humu njoo PM .
  13. A

    Ubunge: Mipango ianze sasa

    Wanabodi kuna wadau mnatarajia siku moja muwe wabunge. Kutokana na kutokujua mmekuwa hamweki mikakati mapema kufikia lengo. Kama unataka kuwa mbunge kwa mara ya kwanza hakikisha unaanza kuweka ukaribu na watu wa jimbo lako. Uwe angalau unakaa jimboni na kushiriki shughuli mbali mbali za...
  14. A

    Huwezi amini: Siasa ndio kazi rahisi duniani

    Mwanabodi najua unahangaika kutafuta kipato kwa shida sana. ...unaweza kuwa mkulima. ..dereva boda boda nk. Basi naona nikufunulie siri hii. ..ukiwa jasiri kidogo tu utakula mema ya nchi. ..kuwa mwanasiasa.
  15. A

    Uchaguzi 2015:Unasubiri matokeo ukiwa wapi

    Wadau embu tujuzane. ..baada ya kupiga kura utakuwa wapi ukisubiri habari za kushitua . Mimi nitakuwa nyumbani kwangu nimefungua geti natazama kituo. ..kwa karibuuu sana stone throw.
  16. A

    Watanzania na Godoro lenye kunguni

    Watanzania ni walalamikaji sana. ..hii nafananisha na mtu kulalamikia kunguni wanaomng'ata usiku alafu asubuhi anasahau. . Ukimwambia atupe godoro anasema amelizoea lakini haishi kulalamika.
  17. A

    Urembo: Kabati limejaa na bado huoni nguo ya kuvaa

    Walimbwende mpumzike siasa kidogo. Hivi inakuwaje nguo ulinunua mwenyewe moja baada ya nyingine mpaka kabati likajaaa, halafu unapata tukio kama harusi unatoa nguo zote kabatini halafu bado huoni nguo ya kuvaaa. Karibuni kwa michango.
  18. A

    Penzi jipya: Unakumbuka swag zako?

    Wadau, Leo nilikuwa safarini basi kuna dada akikaa peke yake, baadae njiani anapanda mwanaume mmoja, jamaa akaanza kurusha mistari demu full ma tabasamu etc mwisho wakabadilishana namba. Mjuzi wa mambo nikikumbuka mbali penzi jipya. Si ajabu baadae sana kila moja akimwona mwenzake atatamani...
  19. A

    Goli la mkono: Mimba ili uolewe

    Waasisi wa goli la mkono nadhani ni akina mama. ....iweje hatujakubaliana kuzaa ushike mimba
  20. A

    Kutoka mtaani:Nani anatajwa sana kuingia ikulu

    Tupe mrejesho ni mgombea gani anatajwa sana hapo mtaani kwako kuwa ataibuka kidedea na kuingia ikulu
Back
Top Bottom