Wanabodi kuna wadau mnatarajia siku moja muwe wabunge. Kutokana na kutokujua mmekuwa hamweki mikakati mapema kufikia lengo.
Kama unataka kuwa mbunge kwa mara ya kwanza hakikisha unaanza kuweka ukaribu na watu wa jimbo lako.
Uwe angalau unakaa jimboni na kushiriki shughuli mbali mbali za kijamii.
Ingia katika ngazi za chini za uongozi ili wananchi wakupime kuanzia ngazi hizo.
Pia kama una uwezo anzisha miradi ya kimaendeleo hata kuunganisha vijana waanzishe ufugaji kuku.samaki. nyuki n.k
So to say anza mipango sasa.