Watanzania na Godoro lenye kunguni

aaamuk

JF-Expert Member
Jan 26, 2015
707
209
Watanzania ni walalamikaji sana. ..hii nafananisha na mtu kulalamikia kunguni wanaomng'ata usiku alafu asubuhi anasahau. .
Ukimwambia atupe godoro anasema amelizoea lakini haishi kulalamika.
 
Back
Top Bottom