siasa ni rahisi na tamu ukiwa mwadilifu. japo wanasiasa waadilifu huwa na maisha mafupi kuliko wale wa mediocre type. hivyo ukitaka kuruka agana na nyonga kwanza manake waeza dondokea pua badala ya kisigino
Siasa ni rahisi lakini sio mara zote kwasababu wanasiasa wakati mwingine huwa wanacheza michezo hatari sana
Na hadi inafika hatua mtu anapata ajali ya kisiasa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.