Kuanza Upya: Kasi hii ya JPM

aaamuk

JF-Expert Member
Jan 26, 2015
707
209
Wadau inawezekana kasi hii ikasababisha watu kupoteza kazi kwenye taasisi ambazo haziendeshwi kwa faida mfano TRL nk.

Hapa jamvini unaweza kutoa ushauri hawa wenzetu waanzie wapi ili maisha yaendelee ...

Karibu
 
Back
Top Bottom