Nilipigwa goli la mkono hadi leo sijaongea kama vile siumii ila....
Nanaa kuna shughuli zingine hata kondomu inaitika, ila anakwambia usijali baby ni safe leo. Anyway lyf linasonga ila tusilaumianeKondom huzijui...umeuza mechi mwenyewe watu wamebeba point Tatu...
We si ulisema huonji? Hiyo mimba imeingiaje sasa?
Waasisi wa goli la mkono nadhani ni akina mama. ....iweje hatujakubaliana kuzaa ushike mimba
Kwanini ulipiga kavu?
Akina dada ni waumini wa kavu balaaa kama ulikuwa hujui. ..