Ndoa uongo mtupu

Jumamosi hii kuna mtu kadanganywa. ..kaoa tunaojua drama yetu macho
 
Watu wanaugulia moyoni. ...nimeona thread mlokole nae analia maombi hayakusaidia a natamani afe
 
Kwani mmelazimishwa ?Bakieni bila ndoa shida ni nini? Punda wa nyuma anachapwa wewe punda wa mbele kilio cha nini?
 
Kama hii ya weekend unaweza kuta mutu moya haijapendaa kivilee basi tu imeana kapu la helaa
 
Fuatilieni toka mwanzo wa NDOA ya kwanza ni shida gani ilisababisha mnayoyaona na kuwafanya wengi kulialia sasa bandugu baJF.
 
Uzi mwingine wa malalamiko ya Ndoa .Soma humu jukwaani

"Ndoa yangu matatani, napata unyumba kwa kulazimisha"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom