Namtafuta: Ndugu yangu Semeni

Namtafuta: Ndugu yangu Semeni

E͙e͙h͙ i͙m͙e͙k͙u͙a͙j͙e͙ h͙e͙b͙u͙ f͙a͙f͙a͙n͙u͙a͙ k͙i͙d͙o͙g͙o͙
 
Semeni asili ya mama yako ni kanda ya ziwa
 
Namjua mmoja kwao Kigoma! Toa utambuzi wake?
 
Namjua mmoja kwao Kigoma! Toa utambuzi wake?

Nikweli majina haya Kigoma ni mengi saaaana.
Mie nawajua sita,mmoja nimesoma nae Mwenge Secondary Singida.

Cha msingi aseme kwanini anamtafuta,asije kuwa kachukua mume wa mtu ikawa kesi kwangu
 
Tuliza akili, toa maelezo ya kutosha utapata msaada, kwa uandishi wa namna hii huwezi kutafuta hata kuku
 
Wadau huyu ni sista angu. ...kwa habari ya uhusiano.
 
toa maelezo vizuri anaitwa semeni nani, mara ya mwisho mlionana wapi pengne alisoma wapi ili hata mwenyewe aweze kujijua kama yupo humu
 
toa maelezo vizuri anaitwa semeni nani, mara ya mwisho mlionana wapi pengne alisoma wapi ili hata mwenyewe aweze kujijua kama yupo humu

Hatujawahi kuonana. ..yeye alitangulia kuzaliwa. ..mzee aliondoka kanda ya ziwa wakati yeye ndio yuko conceived
 
Munawar kama unaweza kuniwesesha niwasiliane na Semeni pls assist
 
Back
Top Bottom