Uchaguzi 2015:Unasubiri matokeo ukiwa wapi

Uchaguzi 2015:Unasubiri matokeo ukiwa wapi

aaamuk

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
707
Reaction score
209
Wadau embu tujuzane. ..baada ya kupiga kura utakuwa wapi ukisubiri habari za kushitua .

Mimi nitakuwa nyumbani kwangu nimefungua geti natazama kituo. ..kwa karibuuu sana stone throw.
 
Millon pole ndugu yangu hii ndio afrika
 
Back
Top Bottom