Search results

  1. U

    Naomba kama kuna mtu aliwahi fanya Interview Elim Tech Foundation kada ya Research and Statistics

    Habari zenu wakuu kama mada inavyojieleza apo juu naomba msaada nataka kujua maswali yao na vitu vingine navoweza kitana nayo hii ndio interview yangu ya kwanza. Nimetumiwa text message nimeambiw nijibu yes or no km ntakua available j3, kingine anasema inaweza kuwa physically au through Zoom...
  2. U

    Msaada wa google support customer service

    Wakuu habari zeno, Ninashida na jinsi yakuwasiliana na Google support service nimepoteza keys za Google authenticator nimejalibu kutafuta mawasiliano nao nimeshindw najua umu siatakosa mwanga karibuni. CHIEF MKWAWA
  3. U

    Msaada wa connection field ya Social Sciences

    WAKUU HABARI ZENU Kutokana na tatizo la Ajira ofisi nyingi wanataka watu wenye experince angalau ya mwaka mmoja na mimi sina huzoefu wowote. Kwaiyo nawaomba member wote wa field ya SOCIAL SCIENCES mnisaidie kupata sehem ya kujitolea tu namimi nipate hujuzi angalau kidogo. Nimesoma BA IN...
  4. U

    Msaada wakuu jinsi ya kuhama chuo

    Kama kichwa cha habari kinavojieleza mwaka huu inawezekana kuhama course na chuo yani nataka kuhama kutoka forestry sua kuhamia wildlife and conservation udsm kwa anayezijua procedure anijuze.....
  5. U

    Msaada

    Nina nokia Asha311 lakini kila nikiplay video youtube inaniambia no response try again ilo tatizo limeanza hivi karibuni mwenye kujua tatizo anisaidie.
  6. U

    Msaada tafadhari

    Wakuu nimepoteza lain yangu ya tigo nasina kitambulisho nilicho sajilia nawezaje kuiludisha.
  7. U

    habari wana jf

    me nina miez humu jf ila cwaelewi kwakwel mana umu jf mna k2 kinaitwa udini sio kitu kzur jmn
  8. U

    Inspecta Haroun

    Rapper wa TMK,inspecta anatarajia kwenda nchini japan kutoa ngoma na video mpya
  9. U

    Edson Mabere vs Tibway360

    Nani mkali kati yao? Naomba mchango wako mdau. Mimi namuona Tbway360.. E.Mabere-WallPaper(StarTV) .. TBway360 - 5 Selekt (EATV)
Back
Top Bottom