UDSM Alumni
JF-Expert Member
- Jan 25, 2015
- 2,562
- 1,393
Wakuu nimepoteza lain yangu ya tigo nasina kitambulisho nilicho sajilia nawezaje kuiludisha.
Wakuu nimepoteza lain yangu ya tigo nasina kitambulisho nilicho sajilia nawezaje kuiludisha.
Sio lazima ulichosajilia tumia chengine chochote ila kiwe cha kwako.
Kama huna kabisa katoe taarifa polisi wakupe karatasi ya kuthibitisha umepoteza vitambulisho then tumia hio karatasi kusajilia.