Search results

  1. Marconho

    Tabia ya kuwa na miadi sehemu na mwanamke, yeye anakuja na rafiki zake bado ipo?

    Kuna siku nilikua na miadi na manzi mmoja, budget yangu ilikua ni mimi na yeye, nashangaa anafika na nyomi la rafiki zake! Nikawakaribisha kwa roho ya unyenyekevu sana! Wakaona hapa wamepata shem mwenye kujali. Nikawaeleza waagize chochote! Baada ya hapo nikamuita pembeni yule manzi wangu...
  2. Marconho

    Kwa wale wapenzi wa series za kizungu-tukutane hapa, kati ya hizi series wewe umeshaona series ambali ni bora na nzuri kuliko zingine?

    1. Money Heist Season 1 - 4 2. Ozark Season 1- 3 3. Sex Education Season 1 – 2 4. Power Season 1- 6 5. The Mentalist Season 1 - 7 6. Altered Carbon Season 1 - 2 7. A Million Little Things Season 1 8. All orNothing Manchester City Season 1 9. Almost Family Season 1 10. Boston Legal Season 1 - 4...
  3. Marconho

    Udaktari ni wito

    *profesa mmoja aliwaambia wanachuo wake kazi ya udaktari inahitaji vitu viwili ''kutokuwa na kinyaa na umakini'' akaingiza kidole puani mwa maiti kisha akalamba,akawaamuru nao wafanye hvyo wakafanya akawaambia kwenye kutokuwa na kinyaa mmefaulu kwenye umakini mmefeli,mimi niliingiza cha kati...
  4. Marconho

    Ujumbe muhimu kwa akina dada

    Umepata Bwana, umempenda kweli kweli, umemlalamikia sana eti kwanini hakupeleki kwa wazazi wake kukutambulisha, jamaa akagoma sana mwishowe akaona isiwe kesi, akakupeleka. Wewe badala hata utake hiyo advantage umefika tu Siku ya kwanza umeshinda Unachati, siku ya pili umeshinda unachati tena...
  5. Marconho

    Funzo kubwa katika maisha

    Mnamo mwaka 1874, Richard Danyderly kama mmojawapo wa wajumbe wa Gereza kuu LA nchini marekani aligundua kuwa kulikuwa na wafungwa sita waliotokea familia moja, japo lile lilimshitua kidogo na akaamua kufanya utafiti kuhusu ndugu wale na aliwatambua kuwa ni vijana wa bwana mmoja aliyeitwa Marx...
  6. Marconho

    Tambua familia bora inavyoishi

    1. Kwanza Baba ndiye kiongozi wa familia si babamkwe wala mamamkwe. Familia bora baba ndiye mwenye kauli ya mwisho si mama wala watoto. Kwenye familia bora baba anaheshimika na akiwa na heshima inavyostahiki pia familia hiyo inaheshimika na watu wote. 2. Pili familia bora mapato na matumizi ya...
  7. Marconho

    Korea Kusini vs Korea Kaskazini

    Miezi kadhaa iliyopita tulishuhudia 'ziara ya kihistoria' ambapo *Kim Jong-Un*, Rais wa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea (Korea Kaskazini) akikutana na Rais wa Jamhuri ya Korea (Korea kusini) bwana *Moon Jae-In*. Ziara hiyo ni ya kihistoria kutokana na ukweli kwamba Kim ndio...
  8. Marconho

    Epuka haya majibu kutoka kwa mwanamke!

    Mwanamke Akikujibu SMS yako Hivi Acha Haraka Sana Kuchat Nae Haraka Sana Ukiona umemtumia mpenzi wako/mchumba wako au hata rafiki wa kike wakati mwingine SMS ya kawaida tu kwaajili ya kumsalimia lakini yeye akakujibu moja kati ya majibu yafuatayo, tafadhali sana usiendelee kuchat nae maana...
  9. Marconho

    Siri ambazo mwanamke hawezi kukueleza

    HIZI NI SIRI AMBAZO MWANAMKE HAWEZI KUKUAMBIA 1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia...
  10. Marconho

    Ndoto ya kuwa mjasiriamali

    Awali ya yote napenda kutoa shukrani za dhati kwa members wa jf hususani katika jukwaa hili. Mimi ni miongoni mwa waajiriwa katika sekta fulani hapa Tz, pamoja na kufanya kazi hii, bila shaka kabisa nadiriki kusema nina ndoto za kuwa mjasiriamali, tatizo sijui ABCs yoyote kuhusu biashara maana...
  11. Marconho

    Natafuta kiwanja cha kununua maeneo Africana, Tegeta au Boko

    Mwenye kiwanja tuwasiliane ila kiwe kimepimwa
  12. Marconho

    Ili kukomesha michepuko nini kifanyike?

    Wakuu, Michepuko imeshika kasi sana na linazidi kushika kasi kadri muda unavyosonga mbele, nini kifanyike kati ya haya; 1. Wanaume waache tongoza tongoza hovyo 2.Wanawake kuwa na misimamo ya kukataa kutongozwa bila ile ya hali ya sitaki nataka. Kuna baadhi hukubali kuachia mambo kisa eti...
Back
Top Bottom