Natafuta kiwanja cha kununua maeneo Africana, Tegeta au Boko

Nitafute kwa namba hii 0713389099
Nina viwanja vipo boko mbele ya dawasco
Vipo upande huo huo wa dawasco kama unaenda bagamoyo
Unashukia kituo kinaitwa basihaya
Vina ukubwa wa mita za mraba 370-390
Vipo umbali wa mita 300 toka bagamoyo road
Bei ni milion 25
 
Huu ndo msimu wa kuhodhi ardhi maana utajua kama panajaa maji au la
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom