Siri ambazo mwanamke hawezi kukueleza

Siri ambazo mwanamke hawezi kukueleza

Marconho

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2015
Posts
287
Reaction score
445
HIZI NI SIRI AMBAZO MWANAMKE HAWEZI KUKUAMBIA
1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani
Wanaume wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia ukweli.
2. Anakulinganisha na mpenzi wa zamani
Mwanamke mara nyingi anakulinganisha na mpenzi wake wa zamani japokuwa hawezi kukwambia waziwazi. Wakati mwingine tabia hii huwafanya wanawake kuwatamani wapenzi wa zamani na hata kurudiana nao endapo watakosa mtu aliye bora kuliko mpenzi wake wa zamani.
3. Kasoro zako
Mwanamke kamwe hawezi kukwambia kasoro zako. Wanawake wanajua kumfichiaa mpenzi wao mambo wasiyotaka yajulikane kwa wengine na kwa mpenzi wake. Wanajua njia za kiujanja za kutumia ili kufichua siri zako zote. Mwanamke hawezi kukwambia kasoro zako kwa kuogopa kukuumiza.
4. Mapungufu yake
Mwanamke hawezi kukwambia mapungufu yake labda kwa kuhofia kusheshwa thamani. Wanawake ni wasiri sana kwa mapungufu yao. Wanajua vyema hofu zinazomuandamana, vitu vinavyowakosesha usingizi na mambo yanayowalemea maishani japo sio rahisi kuonyesha. Kwa nje anaweza akaonekana yuko vizuri na hana tatizo kumbe ndani ana matatizo au mapungufu. Anaweza kufanya yote kufunika upungufu wake!
5. Huwa unampagawisha mpaka anakosa la kusema
Hili halisemi kabisa mwanawake kwa sababu anaona haya kutumia maneno ya wazi kueleza raha unayompa. Maneno ya kuzuzua ni himaya ya wanaume, lakini wakati mwingine wapo wasioweza kuficha.
6. Haumridhishi katika tendo la ndoa
Wanawake wengi hawapendi kusema kama hawaridhiki Kwenye tendo la ndoa. Wanawake wanahitaji kuandaliwa vilivyo kwa dakika 10, 20 ama nusu saa. Mara nyingine wanaume huwahi kabla mwanamke hajawa tayari na hivyo kushindwa kuridhika lakini hawezi kusem
7. Kukuambia km maumvile yako yalikuwa makubwa au madogo
A.k.a kibamia ahatakwambia ! Hilo litabaki analinganisha tu na yule mwenye saizi ya mguu wa mtoto hilo ni gumu sana kukwambia
8.mikasa yake ya kimaisha ....hilo ni gumu kukwambia kama aliwahi kuugua magonjwa km kaswende,pangusa! ...........au kutoa mimba hilo sahau ...........hawezi kukwambia hayo sahau kabisa hahata km ameshaondolewa kizazi
 
Hii ni universal au kwa wanawake katika jamii inayokuzunguka mtoa maada?
mkuu hii ni dhana kwa ujumla wake, na sio km wanawake wote wapo hivyo, isipokua walio wengi hasa wa kiafrika.
 
hawa wa mjini ni wafanyabiashara na sio wanawake wanaozungumziwa hapa.
Mke Wa mtu Na ndoa yake anasema tuuuuu.
Ila hawawa mikoani....back hawajajanjaruka hawasemi
 
Back
Top Bottom